Niking'atwa na nyoka usiku nifanye nini?

Papy ndombe

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
3,764
2,000
Kwamba kila siku mzee?
Tumia vizuia nyoka na vifukuza nyoka nyumbani au mashambani.
.Panda mti upo Kama muhogo uitwa mnyokanyoka.
.Panda michaichai kuzunguka nyumba.
.Ingia amazon, ebay, alibaba, IndiaMART ulizia snake repellent zipo za KILA aina na Kazi zake.
India wamebuni vifaa Kama sensor utoa mawimbi ya mtetemo umbali wa mita 50 kuzunguka degree 360 kinawekwa chini shambani nyoka yeyeto asogei mita 50 ulipo uhisi ni hatari zaidi,kilibuniwa kwa lengo la kumaliza tatizo la vifo vya wakulima mashambani tokana na kuumwa nyoka.
 

Papy ndombe

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
3,764
2,000
Njia za kuzuia nyoka ndani,bustanini au mashambani ni nyingi Sana ni kujifunza zaidi
 

Attachments

 • Screenshot_20210113_173839.jpg
  File size
  305.5 KB
  Views
  0
 • Screenshot_20210113_173854.jpg
  File size
  454.9 KB
  Views
  0
 • Screenshot_20210113_173922.jpg
  File size
  355.2 KB
  Views
  0
 • Screenshot_20210113_173734.jpg
  File size
  378.1 KB
  Views
  0
 • Screenshot_20210113_173815.jpg
  File size
  408.5 KB
  Views
  0
 • Screenshot_20210113_173952.jpg
  File size
  457.2 KB
  Views
  0
 • Screenshot_20210113_174036.jpg
  File size
  426.5 KB
  Views
  0

Papy ndombe

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
3,764
2,000
Kama unataka kuingia porini ambapo zipo shughuli zako au unataka kufanyia shughuli zako na ipo hofu ya nyoka hatari mfano kobra, koboko,nk mbali,wapo wataalamu wa asili wanayo mawe unayaweka mfukoni nyoka awasogei,au zipo spray maalumu ukipata awasogei awapatani na harufu hio.waweza tumia vifaa vya solar snake stopper,au unavaa helmet yenye miwani Ili kukinga kichwa na uso na mavazi ya kufundishia mbwa Ili kukukinga na meno yake yasifike mwilini na unavaa mabuti mguuni,hapa unakua salama zaidi.

Kwa nyumbani pia fuga mbwa na PAKA pia usaidia.Paka uzuia nyoka yeyeto ,pia epuka uwepo wa panya kwenye makazi au shambani
 

Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
8,104
2,000
Tafuta jiwe la nyoka linazuia kuumwa na nyoka.
Siyo kweli! Kugongwa, utagongwa tu hata ukiwa na hilo jiwe! Kwa kawaida jiwe hilo hufyonza sumu ikitokea umengatwa na nyoka. Unachanja na unabandika na kulifungia hilo jiwe kwenye hizo chale!
 

Papy ndombe

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
3,764
2,000
Siyo kweli! Kugongwa, utagongwa tu hata ukiwa na hilo jiwe! Kwa kawaida jiwe hilo hufyonza sumu ikitokea umengatwa na nyoka. Unachanja na unabandika na kulifungia hilo jiwe kwenye hizo chale!
Pana jiwe la aina mbili la kuzuia kugongwa na nyoka na la kuondoa sumu ya nyoka hapa ni mawe mawili tofauti
 

Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,762
2,000
Wadau wamedadavua hasa, hata Mimi nimefaidika sana, nataka nikaweke kempu porini nilikuwa nawaza hao wadudu hatari, juzi kati nimemkili mmoja mbishi hataki kukimbia pamoja na kumtisha, hao wadudu wanajiamini na sumu yao ila hawana uelewa kuwa binadmu ana akili nyingi na vifaa vingi vya kumuangamiza.
Hivi ukiwa na ACID conc huwezi kumyeyusha kwa spray pump ?
 

Papy ndombe

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
3,764
2,000
Wadau wamedadavua hasa, hata Mimi nimefaidika sana, nataka nikaweke kempu porini nilikuwa nawaza hao wadudu hatari, juzi kati nimemkili mmoja mbishi hataki kukimbia pamoja na kumtisha, hao wadudu wanajiamini na sumu yao ila hawana uelewa kuwa binadmu ana akili nyingi na vifaa vingi vya kumuangamiza.
Hivi ukiwa na ACID conc huwezi kumyeyusha kwa spray pump ?
Tumepewa akili za kuwatawala viumbe vyote
 

MAMESHO

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
1,128
2,000
Mkuu ukifika huko tafuta wenyeji salimiana nao. Kuwa mtu wa kuongea vizuri na watu. Utaepuka kuumwa na nyoka watu.
Pia wao wenyewe watakusaidia namna ya kujikinga na nyoka wa kawaida.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom