Nani kaimba huo wimbo?Kwa bahati mbaya huu wimbo sio wa bongo flavor,lakin pia hata mwenye nyimbo si Mtanzania,hivyo hauwez kua wimbo Bora wa bongo flavor
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Wimbo wa South Africa. Na remix yake ndio kashirikishwa Harmo.Nani kaimba huo wimbo?
Njomba nchumari hakuna alichotunga mule zaid ya kuweka maneno yake ya Kiswahili so rate ya ubunifu wake mule ni 10 ya mia..otherwise kautendea vyema sana ule wimboKwa upande wa mziki wa bongo flavor huu wimbo unaweza ukawa wimbo bora.
Ni wimbo uliotulia kuanzia uimbaji hadi mapigo.Mwimbaji Amejaribu kubadilisha uimbaji tuliouzoea wa kwaya yaani mashairi na kiitikio na pia mapigo siyo kama ya miziki ya dance ya twanga pepeta.Ni mapigo ya aina yake ya kunesanesa.Halafu kama hauishi hamu kuusikiliza.
Nimejaribu kutoa maoni tu kwa wapenzi wa bongo flavour.
Week end na pasaka njema.
Asante mkuu
Wazee wa gidi gidiKwakuwa Kaimba Mmakonde Basi Ni Wimbo Mbaya ila Angeimba Domo Au Kibaka Wengi Wangeukubali Sana
Ni mapigo ya aina yake ya kunesanesa.
Huo wimbo ni mtamu