Tayo zeboss
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 467
- 196
Wakuu naitaji simu ila iwe orijino na icwe tecno xo kwa bajeti yng ya elf 50 utanipa simu gani? Npo dar
Ongeza 20k nkuachie galaxy Y
Haina tatzo lolote?
Haina nipe no.yako
Kabla cjakupa no yng shuka dau kdg
ok unataka original nilitaka nikupatie samsung galaxy s4 clone
sent from my blackberry 8520 using jamiiforums
Wakuu naitaji simu ila iwe orijino na icwe tecno xo kwa bajeti yng ya elf 50 utanipa simu gani? Npo dar
ongeza 15, nikupe samsung mini duos, rangi ya cream ipo vizuri, nakusikiliza.
ok upo maeneo gani dar? ili nicheki ratiba yangu nione tunaonana vipi unipe mpunga huo, ntakuachia uiangalie ukiridhika nayo sawa.Mi nakuongezea 10000 tufanye biashara fasta
ok upo maeneo gani dar? ili nicheki ratiba yangu nione tunaonana vipi unipe mpunga huo, ntakuachia uiangalie ukiridhika nayo sawa.
Nokia lumia. 1320 good condition:angry:
nokia 2310 mpyaaa kwenye box
Ok unataka original nilitaka nikupatie samsung galaxy s4 clone
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hapo ndo mwisho sishuki