Anataka kurudi sio kwakuwa anakupenda ... anataka kurudi ili aje akuchune tena zoba wake...Wakati saivi yupo wakati mgumu sana yani kaachwa na mtoto wa miezi mitatu halafu hana kazi ambayo inampa hata buku kwa siku baba hana yupo yupo tuu ndio mana anarudi kutaka huruma kwangu
Ndio mana saivi nimemchunia kimyaaa ..na vi sms vyake mara ohoo baby wangu tusamehane yaliyopita si ndwele tugange yajayo. ..hahaaa wanawake bwana wana lugha TAMU saivi hanipati hata kwa Limbwata [emoji1] [emoji1] [emoji1]Anataka kurudi sio kwakuwa anakupenda ... anataka kurudi ili aje akuchune tena zoba wake...
Sijawahi kuona mpare mzembe kama wewe. Ngoja nikuitie kaka yako Mshana Jr aje akufanyie counselling...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole sana ... Mi nlimsomeshaga dem wangu la tatu.... La tano akanisaliti ... Bora ilikua mapema
Hatari sana aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa nn mkuuHatari sana aisee
Darasa La tatu kuna Ada au international schoolKwa nn mkuu
TuitionDarasa La tatu kuna Ada au international school
Nimecheka sanaa mkuuTuition
Mrudie tu au ushapata mwingine?Hapo mkuu kama ushauri na pia Kushare maisha hususani masuala ya love mana binti anataka kurudi kwangu ila moyo bado una ubaridi
Kwa nn mkuu wangu mbwamboNimecheka sanaa mkuu
Nipo busy na kujijenga kiuchumi aisee saivi nipo single tuuMrudie tu au ushapata mwingine?
HaAahaAa huyo ndo BabaswalehePole sana ... Mi nlimsomeshaga dem wangu la tatu.... La tano akanisaliti ... Bora ilikua mapema
Tuition mkuuHahaa you ndo Babaswalehe
Umeua aiseee. ..Tuition mkuu
Nimeua nn mkuu ??Umeua aiseee. ..
Sasa unaishije bila mwanamke?? Hupati mihemko?Nipo busy na kujijenga kiuchumi aisee saivi nipo single tuu