Nikikumbuka naumia sana

Naumia sana hususani pale ambapo anaomba msamaha kuwa urafiki urudi kama awali aisee naona analeta mapicha picha
Umekaa na mwanamke zaidi ya miaka miwili bila kumtarasua kwa kisingizio cha kushika dini.. DINI GANI HIYO INAYORUHUSU MAHUSIANO YENYE MLENGO WA KINGONO/KIMAPENZI PASIPO NA NDOA?..
Alikuona zwazwa na bado anakuona msukule wake.. hongera
 
Umekaa na mwanamke zaidi ya miaka miwili bila kumtarasua kwa kisingizio cha kushika dini.. DINI GANI HIYO INAYORUHUSU MAHUSIANO YENYE MLENGO WA KINGONO/KIMAPENZI PASIPO NA NDOA?..
Alikuona zwazwa na bado anakuona msukule wake.. hongera
Hapana mkuu shida kwamba binadamu tunatifautiana na hapo utakua umepata picha mimi mtu wa Aina gani
 
Hapana mkuu shida kwamba binadamu tunatifautiana na hapo utakua umepata picha mimi mtu wa Aina gani
Mrudie basi ili kuonesha huo utofauti wako kivitendo haina haja ya kutaka ushauri.. HUYO NDIO MWANAMKE WA MAISHA YAKO NA UANZE KUMTUMIA TENA ZILE ELFU 30 HADI 50 ILA UMUONGEZEE HATA KA LAKI KAMOJA KILA BAADA YA SIKU CHACHE HAITAKIWI APITIE MAGUMU KABISA
 
Hahaaa....Hapana saivi akili imebadilika chief sio kipindi kile
 
Madem huwa wanakatabia flani common sana. Na hiki si kingine zaidi kama uliwah kuwafuma au walikuacha kwa nyodo.. aakirud huwa wanakuja kwa speed kubwa sana.
Na huwa wanatest kama unaingilika, si kwamba wanakupenda au wametambua makosa yao, hapana. Ila wanatafuta pa kutuliza nafsi zaoo...

Wakiona mdhaif watakuchezea sana. Wakiona mgumu huw hata hawaangaiki
 
Aisee pole sana mdau kwa yote yaliyotokea kwa upande wako ila hii story kama inanihusu kwa upande fulan so haya ndo mapenz kuumizana lazma
 
Na hicho ndicho numejifunza kwa huyu na nahisi ndio wadada wengi wapo hivyo
 
Huyo binti atakuwa kwao Manyara kabila Mbulu au Muiraki ndo wanahizo tabia za kuwekeana ahadi za kuoana wakiwa wadogo, kuna jamaa yangu yalimpata kama yako cha ajabu zaidi mabinti wa hayo makabila nadhani huwa bwana zao wanawakea dawa maana hata aishi mikoa ya mbali lazima atamkumbuka tu. Nakushauri usijaribu kuanza urafiki nae maana yule bwana wake wa awali hatoachana nae wataendelea kugegedana kisiri na utakuja kulea watoto ambao si wako. We mpotezee kabisa au mtafute kula mzigo ila mwambie asikuzoee unampenzi wako.
 
Haya makitu kumbe kuna watu bado yana wasumbua akili.
 
Kivipi mkuu funguka
Bot usipoteze muda na mwanamke wa aina hiyo. Mara nyingi wanatafuta tulizo la moyo. Na ukisha mruhusu baada ya muda atarudia tabia zake upya.

Nakwambia hivyo maana nimesha experience kutoka kwa ex zangu.. na walinitema kwa dharau na fujo.. mmoja akaolewa kwa mbwembwe sana na kelele mingi.. wkt huo ndio nimemaliza chuo narudi kitaa sina job yoyote.
Iliniuma sana ila maisha yakasonga... huko aliko olewa baada ya miaka miwili mambo yakawa si mambo. Leo hii ananitafuta na machozi, sms za misamaha haziishi, katuma hadi ndugu zake lakin nimekataa kata kata.

Mwingine nilimpa another chance , baada ya kuona nimetulia akarudia tabia zile zile. Nakamtema mazima.. leo hii simu haziishi.. anaomba misamaha kibao.
 
Ila yeye mchaga mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…