Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,434
- Thread starter
- #21
Now sifanyi ujingaWewe jifanye msamalia mwema utakuja kuuwawa, kufungwa au kupigwa... Timiza wajibu wako sawasawa na taratibu sheria na miongozo ya kazi yako... Mimi ktk maisha yangu ya kazi simsaidii mtu kwa hisia za furaha au huruma... Clients ukiwasaidia ×10 ukakosea ×1 lawama zote za shetani watakupa wewe... Na watu watahisi ulikua unasaidia kwasabab umepewa rushwa ya aina fulani...