Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
MUNGU atunusuru na moto wa milele'..!
Enenda zako kwa amani, kafanye uliyofunzwa na Daktari
MUNGU atunusuru na moto wa milele'..!
Wewe Kaka unanichekesha ujue..
Furahini katika BWANA..!!
Hahahahahahhahahahaha muwafuate wanawake zenu tafadhaliWanaume ambao hamna magari sijui kama kuna kitu mmenote hapa. Ndio maana niliona nafuu niwe na gari nilale njaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu una uvumilivu sana..
Mimi angenipa majibu yangu fasta au ningeondoka nikamuachia majibu yake.
Nimeenda hosptali kufafwata msaada wa kiafya na sio kiroho!!
Wanakera mnooonilishawahi mtukana daktari kwa habarii kama hizi dadekii zao
Nipe majibu nisepe ushauri nasaha peleka angaza
Sera yangu ya kwanza kupima ni kwamba sitaki ushauri nasaha.
Ni straight to the point, kuna mmoja nilimwambia kabisa napima kwa ajili ya majibu.
Baadae alivyoanza kutoa ushauri nasaha nikanyanyuka nikaondoka zangu.
Kama unataka ivyo nenda kwenye zile maabara za kitaa wanapima flesh tu kwenye buku mbili mpka buku tatu
Bora zile nasaha zao kuliko yale mahubiri yanayochoma mpaka kumoyo walaqhii..Ujinga wa hivyo mi siupendagi madaktari wanaona siiiifa kutishana.... Mi nishawahi fanyiwa hivyo ila nilikuwa na mwenza wangu jamani unatamani litokee shimo uingie ujifukie..... Kwakweli zile nasaha zao hapana..... Toka siku hiyo Nikitaka kupima nawahi maabara nalipa buku Tatu yao wananitoa damu Nawaambia wanipe kipimo changu waendelee na shughuli zao nikiwa safi ntawaita waniandikie cheti vinginevyo ntasepa kimya kimya
😀😀Sera yangu ya kwanza kupima ni kwamba sitaki ushauri nasaha.
Ni straight to the point, kuna mmoja nilimwambia kabisa napima kwa ajili ya majibu.
Baadae alivyoanza kutoa ushauri nasaha nikanyanyuka nikaondoka zangu.
😀😀
Ulikuwa una uhakika na majibu yako ndo maana ukapata ujasiri wa kuondoka mkuu..