NYOTIENO JARIEKO
Senior Member
- Apr 29, 2017
- 196
- 325
Acha zako mkuu,Mimi namfuata mpenzi wg tena tunatembea kwa mguu .Hakunaga mwanaume anakuja kukufuata kwa miguu au daladala, lazima atafute sababu. Au atakutumia hata elfu 10 ya bodaboda
Acha zako mkuu,Mimi namfuata mpenzi wg tena tunatembea kwa mguu .Hakunaga mwanaume anakuja kukufuata kwa miguu au daladala, lazima atafute sababu. Au atakutumia hata elfu 10 ya bodaboda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaeza kudelete bongo flavor zote na kudownload gospel tu ilaa baada ya cku mbili unafuta gospel zote unadoenload RnBNmefurah tu an umenikumbusha mahubir ya kanisani yaan wakat wa mahubir unaeza apa kutomkosea Mungu tena na kumshukuru kwa kumleta mtumish siku hyo ukishatoka hapo sijui huwa yanaenda wap
Dah acha tu an[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaeza kudelete bongo flavor zote na kudownload gospel tu ilaa baada ya cku mbili unafuta gospel zote unadoenload RnB
[emoji2][emoji2][emoji119][emoji119]Huyu ni Mimi kabisa walaqhii'..
Kwann dingiWanaume ambao hamna magari sijui kama kuna kitu mmenote hapa. Ndio maana niliona nafuu niwe na gari nilale njaa
Huo ujasiri nautoa wapi wakati muda huo natetemekea majibu..!!Woooi mie huo ujinga wa maelezo mareeeefu niliukataa, dakatari alivyoanza ngonjera zake nikamkatisha na kukwambia "niambie kwanza majibu ndio mengine yaendelee lasivyo nakuachia hayo majibu nasepa"
HahahahahahhahaWanaume ambao hamna magari sijui kama kuna kitu mmenote hapa. Ndio maana niliona nafuu niwe na gari nilale njaa
Hahahahahahhaha
Nikiwa na shida ya kiroho naenda kanisani..[emoji23][emoji23]
Kwahivyo mkuu hupendi msaada wa kiroho..?
Ujasiri nisingekuwa nao was kuondoka kwa ule muda aiseeh' maana mahubiri yalishanifanya moyo ukapondeka.!!Nikiwa na shida ya kiroho naenda kanisani..
Lakini ww umeenda hosptali kupata msaada wa kiafya halafu unapewa mahubiri ya kuokoka na majibu ya ngoma anayo bado kayashika yeye..
Aiseeh mimi ningemuachia majibu nikaenda kupima sehem nyingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaeza kudelete bongo flavor zote na kudownload gospel tu ilaa baada ya cku mbili unafuta gospel zote unadoenload RnB
Kwahiyo siye tumeangukia kwa mwamba??