[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume ambao hamna magari sijui kama kuna kitu mmenote hapa. Ndio maana niliona nafuu niwe na gari nilale njaa
kwani me nimesema alikuwa anakutaka?Hakuwa na maana hiyo mkuu,
Hivi kwani wanaume huwa mnatongoza ovyo tu?? Hamuwezi fanya jambo jema lolote bila kuwaza hivyo??
Wanaume ambao hamna magari sijui kama kuna kitu mmenote hapa. Ndio maana niliona nafuu niwe na gari nilale njaa
AhahahaaaaaaaaaaWanaume ambao hamna magari sijui kama kuna kitu mmenote hapa. Ndio maana niliona nafuu niwe na gari nilale njaa
Hongera sana mkuu, kwa kuheshimu afya yako umechagua fungu lililo jema!!hata mm nilishawahi kupigwa injili hivyo hivyo wakati nimeenda kupima sio Siri hio siku ilikuwa nzito sana kwangu ila nipopokea majibu moyo ulizibuka wotee mpaka leo naheshimu afya yangu
Hongera mkuu, uishi kwa nidhamu sasa.!!View attachment 1147535kucheki Afya muhimu saaana