Nikihisi harufu ya mahanjumati (wakati wa kukaangiza) nakohoa (napaliwa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikihisi harufu ya mahanjumati (wakati wa kukaangiza) nakohoa (napaliwa)

Discussion in 'JF Doctor' started by Kubingwa, Jan 15, 2012.

 1. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakuu poleni kwa msiba mzito!
  Kama title yangu inavyosema hapo juu.Hili tatizo linasababishwa na nini? Wala siumwi.Nikisikia harufu ya vitunguu vya kukaanga na mavitu vitu vingine,nakohoa mno yaani napaliwa sana.
  Kwa nini?
   
 2. T

  TUMY JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda uko allergic navyo.
   
 3. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  OOOh!,Ok! Basi nitajitahidi kuepuka sehemu hasa jikoni.
  Thx in Advance!
   
Loading...