Nikifanya mapenzi naboreka

Nipe location na Contact mkuu nijitupe huko

Nenda hadi Igunga, ukifika stendi ulizia kwa mama Kalunde utakutana na bibi atakufanyia mambo sawa ukitoka hapo uko fit kabisa.
 
Nenda hadi Igunga, ukifika stendi ulizia kwa mama Kalunde utakutana na bibi atakufanyia mambo sawa ukitoka hapo uko fit kabisa.
Daa inabidi nipange safari ya huko
 
nenda ngazi kwa ngazi unataka na ww kwa wiki mara 20 kaka doohh....pambana na maisha utaona mwenyewe kwa wiki mara 2 lakini ukimtia mtu mkononi weeeeee unaua na kufungwa keko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…