Nikifanya mapenzi naboreka

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Tofauti na mwanzo nilikuwa na enjoy kila nikifanya mapenzi ila kwa sasa hakuna kitu kila nikifanya mapenzi naboreka mpaka namchukia Mfanywaji.

Yaani inafikia kipindi Papuchi naiona ni kitu cha kawaida sana mpaka naizarau, ila tu ikipita siku tatu sijatoboa nakuwa na hamu ya juu sana. Nikisaka papuchi tu nakutoboa nakuwa naboreka tena na kumchukia mfanywaji.

Hali hii inanifanya nisidumu na demu mmoja kabisa sijui kwa nini na sijui ni nini Tiba yake?
 
Nilikuwa najiuliza swali, wewe Zero IQ na rikiboy mnaundugu?

Maana yeye ni kula kimasihara na wewe umekinai [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Bongo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] Mimi nimekinai mkuu
 
zero IQ tayali washakutengeneza tayali wadada inabidi uangalie upande wa pili wa shilingi hili ujikwamue la sivyo hali itakuwa tete sana kwako
 
Lile kundi la waganguzi wakija huku lazima wadai uwa una jini mahaba,jiangalie wasije kukupotezea hela zako kumbe ni mabadiliko ya kitabi tu.
 
Lile kundi la waganguzi wakija huku lazima wadai uwa una jini mahaba,jiangalie wasije kukupotezea hela zako kumbe ni mabadiliko ya kitabi tu.
Kwa hiyo sijafanyiwa mambo yale mkuu
 
zero IQ tayali washakutengeneza tayali wadada inabidi uangalie upande wa pili wa shilingi hili ujikwamue la sivyo hali itakuwa tete sana kwako
inawezekana eeh mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…