Nikichakacha nitakua nimekosea? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikichakacha nitakua nimekosea?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by duda, Jun 15, 2011.

 1. duda

  duda Senior Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jf mwenzenu nina tatizo la umeme nyumbani kwangu, mwezi uliopita lilitokea nikakaa siku 3 gizani, nikapiga Tanesco Emergency hawakutokea mpaka tatizo likajirekebisha lenyewe. Sasa Jana limetokea tena nimepiga Tena emergency Tanesco lkn mpaka sasa sijashughulikiwa. sasa sielewi maana ya Emergency kwao inamaanisha nini? sasa swali langu je! nikileta kishoka akatengeneza nitakua nimefanya kosa? maana tatizo liko juu ya nguzo
  msaada jamani? maana nasikiaga kishoka akikamatwa ni msala kwa aliyemleta na kishoka mwenyewe
   
 2. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Chakachua hiyo sio posho ila ni malipo ya kuwa nje ya fundi wa tanesco!
   
Loading...