CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,259
- 12,886
Hivi ile NGO yake ya Wanasheria wa Mazingira( LEAT) bado ipo?
yeah... Lawyers Environmental Action Team... bado ipo na itaendelea kuwepo!! Bravo TAML......
Hivi ile NGO yake ya Wanasheria wa Mazingira( LEAT) bado ipo?
Hakuna barometer ya uzalendo.
TL namwamwini sana yaani ni kama JKN yaani akiwa rais wa nchi yako unalala usingizi bila wasiwasi ukijua kwamba kuna mtu ikulu kwa niaba yako,akienda kwenye mikutano ya kimataifa au akienda kukutana na marais hata wa nchi kubwa au marais wengine wenye akili kama Obama huna wasiwasi kwamba atanga'ara.ukietembelea nchi ya kigeni ukiwambia unatoka nchi ambayo rais wake ni TL class unapata special treatment na hongera kibao! NATABIRI KUNA SIKU SINGIDA ITATOA RAIS KUPITIA CHADEMA!