MCHUMIPESA
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,088
- 257
Lisu ni jembe na linalima shambani anayekataa afute post yangu!
Ni jembe hili hili la kulimia ama! Maana kuna uzi nilitupia humu kuwa J.K ni jembe baaasi pro chadomo walinirushia mawe ya matusi mpaka nilipoteza memory.Sasa we huyo Lissu ni aina gani ya jembe?kama Dkt hagombei 2015 basi jembe tunalo!sipati picha LISSU akichukua nafasi ya currently Vasco Da Gama.Magamba makuu yote yatakimbilia uhamishoni kwasababu si mtu wa kumung'unya maneno na vitendo ndo mwake.
Siyo lile FISIURAHISI ZZKidogo: Anatoka singo dar! katikati ya NCHI. Yeye mambo ya URAHISI ni madogo!! bravo TL. Kila Werema akimwona BUngeni anahaha!! Nina uhakika Werema anaendaga mlingotini kwa ajili ya TL.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Tundu Lisu ni mzalendo wa kweli. Tukipata watu kama 100 wa harakati kama yeye, hakika nchi hii tutaikomboa. Angalau wakulima tutapata hata kaniki ya kufunika miili yetu.
kwani nani unataka kuniambia alicheza vizuri nje ya uwanja na alipoingizwa ndani akachemka? Au unadhania tu?siku zote alie nje ya kiwanja ndio anakosoa mchezaji, ngoja aingie yeye uwanjani utaona jinsi atakavyocheza, likipigwa raggae yeye atacheza blues.
Na huyo lissu wenu ndio itakavyokuwa, mtasema afadhali ya mrema......!
Narudi, nipeni sifa za Lisu za kazi na mafanikio yake. Sifa alizopewa hapa ni sawa na zile mlizompa JK kabla kuwa rais: JK ni mcheshi na mlima mananasi.
Watu kama nyie huwa hamkosekani kwenye jamii,Endelea kuposti tu mkuu!Chamsingi penda taifa lako zaidi ya Chama chako!
Kuuliza sifa za kazi na mafanikio ya Lisu ni kupenda chama changu?( Please kill yourself).