Nikiamua kuacha kazi, mfuko wa PSPF watanipa stahiki yangu?

Kuna jamaa alipata kusema mshahara ni km hed*** huja mara 1 kwa mwez hukaa cku nne tu usipoangaliA unaweza usitoboe maisha yako yote kwa salary
Ni kweli unschofikiria lkn sidhan kma ni sahihi wapo watu wengi ni watumishi na wametoboa vizuri tu muhimu jiwekee malengo Yako nn unatak kiwe na wakt gani,
jipangie muda gani utakuwa unafanya shughuli zako zingine

kuhusiana na mkopo hausaidii zaidi unaongezea shida imagine unakopa milion 10 unalipa had milion 15 htafuta channel nzuri tu fanya kitu unachopenda kusave ndio kitu Cha msingi

Hta ukiwa na milion 50 km huna nidhamu kwenye matumiz ni sawa Bure tu
 
Well said madam

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sasa hivi ni ngumu sana maana sheria zimebadilika sana. Kuna mambo 3

1. Acha kazi halafu subiri pesa zako hadi ufikishe miaka 60 ndio ukachukue.

2. Fanya kazi kufikisha miaka 15 ili uwe peshanable kisheria kabisa. ( unapata kiinua mgongo na pensheni kabisa)

3. Acha kazi kisha anza kuchangia kwa hiari hadi ufikishe miaka 60.

Vinginevyo ni ngumu sana.
Hiyo namba mbili inawahusu hata wafanya kazi wa binafsi? Make mm hapa nina miezi 188 mpaka sasa hivi nafanya kaz kwa kampuni binafsi
 
Mimi sijaelewa unataka kuacha kazi halafu ndo ufuate hizo channel zako? Au channel zako unazo tayari ndo unaacha kazi?
 
Sheria ya hifadhi ya jamii ni moja use public au private sector
Hiyo namba mbili inawahusu hata wafanya kazi wa binafsi? Make mm hapa nina miezi 188 mpaka sasa hivi nafanya kaz kwa kampuni binafsi
 
Hiyo namba mbili inawahusu hata wafanya kazi wa binafsi? Make mm hapa nina miezi 188 mpaka sasa hivi nafanya kaz kwa kampuni binafsi
Ndio kwa kuwa nawe ni mtumishi. Hii sheria ni kwa wote NSSF na PSSSF.
 
Kuna kitu bado wadau hamjaweka wazi kuhusu hy miaka 15 kazin ukienda kuchukua hiyo pension wanakupa yote au kias fulani tu
 
Habari wakuu,

Naomba ushauri mimi ni mwalimu idara ya elimu msingi nimekuwa kazini kwa kipindi cha miaka 10 sasa. Nataka kutafuta Channel zingine za maisha nikiwa na maana ya kuresign mwenyewe. Nachouliza kwa kipindi hicho nilichotumikia kwenye mfuko wa PSPF watanipa stahiki yangu au laah?
Mpaka wakufukuze wenyewe ndio unalipwa tena kwa utoro ukiacha mwenyew hupat, hivyo usiende hata mwezi then ukiulizwa jibu jeuri,TSC watakulima barua mapema,then anza mchakato wa kudai mafao yako bt nahisi hayatazid 10 million kwa miaka yako ,uliyokaa kazini
 
Pesa yake ya PSSSF ndo italipa madeni hayo na kama pesa haitoshi unatafutwa ulipe deni lako.
Ili uwe pensionable lazima uwe umechangia kwa muda usiopungua miezi 180 (miaka 15)
Kwa miaka yako 10 bado haujawa pensionable
Mikopo ina bima ww acha kumtisha,bima ndio inalipa kwa case km hizo za mteja kufukuzwa kazi, nakumbuka katb wa CWT alisema cez lipwa kisa nna mkopo, hakujitambua yule bwana, pspf wakanipa mbinu konk wakaweka fedha zangu zote na sa hivi nimesharud kwny ajira tena ,mim ni likua idara ya secondary,tena nlikua na mkopo CRDB,pspf wanakuambia fungua account mpya(nilifungua NMB) tutayoweka hela ili kukwepa kufyekewa pesa zako kwenye ile ya cku zote.(ya CRDB)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom