Ikoko
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,101
- 3,034
Kuwa kazini kwa miaka 15 ina maana uko kazini miezi 180, hata kama michango imechelewa bado unakuwa ume qualify kwa sababu umekatwa mishahara yako yote kwa miezi 180... Ni suala la kufuatilia tuu michango yakoVipi kwa wale michango iliyochelewa kwenda, let say ana miaka 15 kazini lakini michango haijafika 180...