Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,574
- 3,036
Salam wote Wana JF,
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Nimegundua siku hizi uume wangu hausimami kabisa ninavyolala ukiwa umelala ndiyo ninavyoamka ukiwa umelala.
Nashindwa kuelewa tatizo ni nini.
Ni mwezi mmoja sasa hii hali Inaendelea. Je hii hali inawakuta na Nyinyi au nipo peke yangu.
Kabla nilikuwa Muabudu CHAPUTA Kwa siku nilikuwa napiga hata mara 20 lakini mzigo nikiamka asubuhi umetuna lakini sasahivi nashangaa nikiamka asubuhi uume umesinyaa.