Niki-miss hii kitu, nakosa

Niki-miss hii kitu, nakosa

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,867
Salaam wana JF.
Huwa nikimiss kuingia jf kwa siku nzim nakosa raha.
Je! Wewe ukimiss nin unakosa raha?
Wasalaam.
 
<br />
<br />
kumbe ndio maana TBL wanaongoza kwa kulipa kodi.

Nikiimiss chibuku - wanalipa kodi kubwa kuliko hata makampuni ya madini, Tigo na vodacom last year over 13bn. Iungeni mkono
 
mi nisiipo ingia jukwaa la MK nakosa raha kabisa..
 
Mi niki miss nanilii ya kunanii! We acha tu.................................
 
Ndovu baridiiiiiiiii na kitimoto ya kuchoma nakosa raha kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom