Nikaribisheni mie mgeni humu...

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Naombeni mnikaribishe jamani wana Chit Chat, maana nakumbuka niliingiaga humu bila kuomba kukaribishwa ( nilijiunga nanyi bila hodi )...

Jumapili njema.....
 
manoah ushaanza visa wewe! Hau kam ushakaa na mpaka kuotea ndevu na zile za kunako ukiwa humu leo uje na kupiga hodi?

Jumapili njema!
 
Last edited by a moderator:
Mgeni wa mambo au mgeni wa kila kitu?
Maana kama mambo umeshayafanya sana humu na Ex shem!
Au ugeni gani huo?
 
Kweli viroba havifai, angalia kesho usijesahau jinsia yako dogo.. BTW karibu home Mama v kakuletea mchumba.
 
Last edited by a moderator:
Mgeni wa mambo au mgeni wa kila kitu?
Maana kama mambo umeshayafanya sana humu na Ex shem!
Au ugeni gani huo?

Duuuu..... Judgement ,
mie mgeni humu,
isipokua kwa ex shem ndio mwenyeji....
naombeni mni karibishe

:lalala:
 
Last edited by a moderator:
Mama v anaendeleaje...
oh oh oh! mama mkwe anaendeleaje?
nitakuja na zawadi ya ile kitu iku rahisishie usafiri........:smokin:

Kweli viroba havifai, angalia kesho usijesahau jinsia yako dogo.. BTW karibu home Mama v kakuletea mchumba.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…