Nikalamba . . . .

Nikalamba . . . .

Tulianza kama utani. Awamu hii tulikuwa kitandani. Nikimgeuzia huku yumo nikibadili mchezo yumo. Duh! Imekula kwangu leo! Nikampa viwili vya fasta kwanza kisha nikamuuliza "UNA MAVI . .?". Akasema hana, si nikaanza kulamba. Ile nalamba tu akatoa mavi, Bwana eeh! Yaani sio fair kabisa, huu mchezo wa karata wa last card . . .

Feliz Navidad to all JF Members

ulitaka mwenyewe sasa inatuhusu nini? pia wewe unaoneka ni wale wale wasiokuwa na maadili ya dini yoyote ndo maaana mnakuwa na fikra za kinyume na maumbile aliyoweka mwenyezi mungu, alikukomesha eh!!!!!
 
Hapo alipokunyima MAVI ulitakiwa kubadilisha mchezo ili katika mchezo mwingine umuoe kabisa,Si unajua kucheza ALBA-STINI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom