Nikalamba . . . .

Nikalamba . . . .

Afrika Furaha

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
329
Reaction score
10
Tulianza kama utani. Awamu hii tulikuwa kitandani. Nikimgeuzia huku yumo nikibadili mchezo yumo. Duh! Imekula kwangu leo! Nikampa viwili vya fasta kwanza kisha nikamuuliza "UNA MAVI . .?". Akasema hana, si nikaanza kulamba. Ile nalamba tu akatoa mavi, Bwana eeh! Yaani sio fair kabisa, huu mchezo wa karata wa last card . . .

Feliz Navidad to all JF Members
 
And you are telling us because......?
 
.. sasa alipotoa hayo MAVi si ungeyakata na KISU halafu ungemmaliza kabisa na JEMBE!!!!!! karata bana RAHA tupu
 
Aisee nashukuru sana. Wewe ndio mdau kamili wa karata. Yaani huyu alikuwa ananilambisha MAVI kinoma, Sasa ngoja nianze kumchapa na JEMBE atatulia mwenyewe . . . JEMBE mbili au tatu
 
Tulianza kama utani. Awamu hii tulikuwa kitandani. Nikimgeuzia huku yumo nikibadili mchezo yumo. Duh! Imekula kwangu leo! Nikampa viwili vya fasta kwanza kisha nikamuuliza "UNA MAVI . .?". Akasema hana, si nikaanza kulamba. Ile nalamba tu akatoa mavi, Bwana eeh! Yaani sio fair kabisa, huu mchezo wa karata wa last card . . .

Feliz Navidad to all JF Members

kaka moja jumlisha moja ngapi?
 
Teh teh teh xo funny mwanzo niliwaza vp huyu anaelekea wapy kumbe last card dah
 
kama uko dar nenda ubungo panda basi moja linaitwa shabiby shukia dodoma jamatini kisha nenda sabasaba nyuma kuna usafiri wa mirembe hospital......una umwa wewe!

Nipo mirembe tayari. Feliz Navidad ndugu
 
kaka ungempa kopa kwanza kuonyesha bado unampenda japo kakupa mavi ila kama kakuboa ungemchoma na kisu tu kwanini akudanganye hana mavi wakati anayo.
 
men stop it u people you are killing me of laughter over here.
 
Tulianza kama utani. Awamu hii tulikuwa kitandani. Nikimgeuzia huku yumo nikibadili mchezo yumo. Duh! Imekula kwangu leo! Nikampa viwili vya fasta kwanza kisha nikamuuliza "UNA MAVI . .?". Akasema hana, si nikaanza kulamba. Ile nalamba tu akatoa mavi, Bwana eeh! Yaani sio fair kabisa, huu mchezo wa karata wa last card . . .

Feliz Navidad to all JF Members
Nadhani huna cha kufanya ndio maana unaandika pumba hapa, shame upon uuuuuuuuuuuuu, mody kama inawezekana please iondoe fasta
 
Hongera sana, hiyo ni mwaka mpya yako 2011, ladha yake ikoje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom