NIKAJIZIKE

KABIDO

Member
Oct 26, 2015
74
117
Fundi majeneza alipata oda ya Jeneza
akawa anapeleka kwa gari lake. Njiani
gari ikaharibika, akaamua kubeba
kichwani kumpelekea mteja wake
akakutana na askari wa4 wakiwa
doria, akajua lazima watataka rushwa. Askari;- Unakwenda wapi na hilo
jeneza usiku huu?
Jamaa:- Nilikuwa nimezikwa makaburi
ya Sinza sijapapenda ndo naelekea
Kinondoni nikajizike karibu na Kaburi
la mtu maalufu au mnanishaurije? *MPAKA SASA HIVI ASKARI
HAWAJULIKANI WALIPOKIMBILIA*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom