We dogo unajifanya jeuri siyo?
Embu kuja na wewe uone chai alioandaa miss neddy
hahahaaa! naona unakula kwa kutumia hisia...! malikia wangu ninae hapa zero distance..! yani hata hii post naiandika kwa shida kweli...!
ok.. enjoy this!
sidhani kama utaweza...
IN THE NAME OF THE KING!!!!!!!!!!!!!! DO NOT MENTION OR CALL THAT NAME AGAIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIN!!!
oh my queen! i love you! pleaaaaaaaaaaaaase!!
sawa king sipendi.kukuudhi eeeeeeeeh i love u tooIN THE NAME OF THE KING!!!!!!!!!!!!!! DO NOT MENTION OR CALL THAT NAME AGAIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIN!!!
oh my queen! i love you! Spleaaaaaaaaaaaaase!!
Vivian taratibu dada
mitandao yote iliyopo wewe umeona TIGO tu
mnafahaamiana nini? we umejuaje kama ana TIGO
Missing you more dada angu kipenzi
Msalimie shemeji
Hugs & kisses.....nimeona mwanyaa
Thanks my mdogo....hahaa avator tu hiyo natamanije kuwa nao?
By the way uko powa?
.....na rehemaa...naupenda huu wimbo
Nikaribishe nitakuja!
Mimi ndio zaidi naupenda!
Hapa nilipo mimi, ni kwa neema ya Mungu.
Karibu sana! hivi wewe ni mjumbe wa bunge la katiba?
No..mi ni mfwatiliaji tu
Mimi ndio zaidi naupenda!
Hapa nilipo mimi, ni kwa neema ya Mungu.
Karibu sana! hivi wewe ni mjumbe wa bunge la katiba?
Next time uwe unaenda na chupi ya spear !
hili sijui fumbo au ndio ndoa ndoano ila inaweza kuwa ngoswe: penzi kitovu cha uzembe