Nikaitafuta Pichu yangu Bila Mafanikio

Nikaitafuta Pichu yangu Bila Mafanikio

usiogope Mpwa wangu mpendwa, ilikua ni mzuka tu I didnt mean it.......hivi saa ngapi sasa hivi kwa majira ya JF? I want to share something hapa lakini naogopa watoto hawajalala, eti Mpwa wangu KOKUTONA
Vipi tena #elli nikuhukumu umefanyaje?

Naogopa kuhukumu nitahukumiwa
 
Last edited by a moderator:
usiogope Mpwa wangu mpendwa, ilikua ni mzuka tu I didnt mean it.......hivi saa ngapi sasa hivi kwa majira ya JF? I want to share something hapa lakini naogopa watoto hawajalala, eti Mpwa wangu KOKUTONA

Bado mapema anko...shibili kidogo
 
Chapuchapi kwenye gest za buku Tano acha utakuja kuumbuka
 
Lunch kitandani..halafu pichu inadondoka! Ni ile 'VIP iliamua kuwa underskirt nini?
 
Aha.., bado nipogo..., unachotaka mimi nitakupatia...!
aha bado nipogo, Chocs twende wote! i miss you even more... embu malizia wimbo.

hahahahahahahaha mbio za sakafuni hizi
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha mistar imeniishia jirani
Nafikiri tangu mwaka uanze sijakuona,nani kakuficha?

Aha.., bado nipogo..., unachotaka mimi nitakupatia...!
aha bado nipogo, Chocs twende wote! i miss you even more... embu malizia wimbo.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha mistar imeniishia jirani
Nafikiri tangu mwaka uanze sijakuona,nani kakuficha?

Tupo na Erickb52 hapa kati tupo bize sana.
usiogope kuimba shem nyimbo siyo mbaya ile
Halafu mbona hututembelei!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom