Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,488
- 100,883
Ni Lunch Time, si nikatoka faster faster kwenda kupata "Lunch" si ndio nyakati zenyewe hizi, basi ile nimeshapata "Lunch" tu nikaanza kuitafuta Pichu yangu, mmmhhh huwezi amini sikuiona, tafuta weee ikabidi niingie kwenye zoezi la kusogeza kitanda, Hamadiii!!!! Naikuta iko kwenye shimo la Panya, kumbe kulikua na panya kwa chini ambapo baada ya zile vurugu pichu yangu ilidondoka chini, yeye akaivutia mvunguni zaidi akiingiza kidogo kwenye shimo tayari kuitafuna.
Kuna uwezekano mkubwa kama ningekaa zaidi ya three hours ningekuta imeliwa nusu, sijui ningesemaje!!!!
Moral! Acha michepuko Baki njia kuu, Good afternoon
Kuna uwezekano mkubwa kama ningekaa zaidi ya three hours ningekuta imeliwa nusu, sijui ningesemaje!!!!
Moral! Acha michepuko Baki njia kuu, Good afternoon