figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,991
- 63,867
Mkuu hii mada tushaijadili hapa. tafuta utaiona. Mia
Mnaosema inatengenezwa labda mtusaidie kwa manufaa gani!!!
Elli keshakibu hapo juu yako
Elli keshakibu hapo juu yako
Kuna jirani yangu ni dereva wa dala dala alishawahi kuniambia kuwa huwa inatengenezwa na trafiki wa Ubungo ambapo unafikia kiasi unaboreka hivyo unatanua! Ukitanua tu....unao!
ubungo mataa ndio wapi wandugu wengne tupo huku Rulenge- ngara?
Mkuu habari za rulenge? kuna sehemu tulikuwa tunaenda kula nyama choma ya Mbuzi ukitoka Rwinyana uwanjani unashuka bondeni halafu unaibukia sokoni. kama unaenda kabanga nickel kunakua na soko j2.panaitwaje? nakumbuka helufi chache za jina "rwi rama au rwigarama". nikumbushe mkuu.napenda sana ile pombe ya mahindi( umgoligoli). Mia
ubungo mataa ndio wapi wandugu wengne tupo huku Rulenge- ngara?
Wameanza na hii then zingine zinafuata kadri ya uwezo utakavyo ruhusu,teh teh teh!Nimegundua kwamba serikali haina nia thabiti na uharaka wa kupunguza kero za foleni katika jiji la Dar es Salaam kwani hakuna priorities in solving this! Mfano dhahiri ni kwa ile barabara ya kuanzia Meeda kuingia kule ziliko hostel za UDSM - Kijitonyama kuwekewa lami wakati kuna feeder roads kibao ambazo kama zingewekewa lami zingetatua tatizo la foleni Daslam! Sasa sijui kama serikali ina priorities katika hili ...... Mimi sijui .......
Nimegundua kwamba serikali haina nia thabiti na uharaka wa kupunguza kero za foleni katika jiji la Dar es Salaam kwani hakuna priorities in solving this! Mfano dhahiri ni kwa ile barabara ya kuanzia Meeda kuingia kule ziliko hostel za UDSM - Kijitonyama kuwekewa lami wakati kuna feeder roads kibao ambazo kama zingewekewa lami zingetatua tatizo la foleni Daslam! Sasa sijui kama serikali ina priorities katika hili ...... Mimi sijui .......