Nijuzeni taratibu za kuoa uchagani.

Nijuzeni taratibu za kuoa uchagani.

nimebahatka kumpata mchumba(wa kike) baada ya kupost sifa jf, sasa nahtaji nijue taratib za kuoa Mmarangu kwa anaejua.

Kwani ulikuwa unatafuta hadi mchumba wa kiume hadi ubahatishe wa kike?
 
Andaa pipa 6 za mbege,mikungu ya ndizi 28,uwe unamiliki butcher zaid ya 8 za kitimoto,banda la kufugia kitimoto na uwe nao zaid ya 55,mbuzi kwa ajili ya ndafu na vitu vingine vidogo vidogo.....hapo unajing'olea kiulain tu mtoto wa kichaga

Pamoja na hayo uwe na gari Toyota Stout au Toyota Double Cabin maana Stout zimeadimika. Usikose kabati ya mbeho (fridge)
 
kila jioni badala ya mkeo kuvaa kanga moja kukukaribisha, ukirudi utamkuta mlangoni na gauni la max na atakuuliza'Umeingiza sh ngapi!?
 
Mi ngoja nielezeee Kwa faida ya wote, kwanza unamtongoza manzi wa kichaga Ila Daaah Naona kachomoa Kwa hiyo steps nyingine tutaendelea siku akikubali
 
Huwa hakuna mtu anaitwa mchaga!
Kuna
-mrombo
-mmachame
-mmarangu
--mkirua
-mkibosho
-muuru
Sasa kwa kuzingatia mwongozo huo hebu be specific lau!
salamu zimfikie Mkirua popote alipo
Nicas Mtei
Kaizer
Asprin
Kwa mwongozo zaidi!
Naongezea: m-sanya juu,m-boma ng'ombe,m-old moshi,m-kiboroloni,m-tpc
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom