ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,278
- 22,009
kila jumatano sijui alhamis kuna ladies freee weeee malaya wote wa mbagala wanahamia humoKuna Club ipo tandika Sudan inaitwa ROyal girrafe nayo ni hatarii
kila jumatano sijui alhamis kuna ladies freee weeee malaya wote wa mbagala wanahamia humoKuna Club ipo tandika Sudan inaitwa ROyal girrafe nayo ni hatarii
Wakuu. Hivi viwanja bado vina uhai? hasa baada ya huu ukata wa magu. Nataka nipitie japo sehemu 2-3.Nadhani hizi zinakutosha
- Next door
- Elements
- high spirit
- Triple 7
- East 24
- London Lounge
- La Chaz
- Maisha Club
Hii ipo wapi mkuu?La roca
Rudi makapuku wewe
Hata hivyo sijatoka kapuku mkuu..Rudi makapuku wewe
Leo nitaenda next door; vipi bado pana hitHivi mkuu what is so special pale next door. naplani niapatembele Jmos.
na lini huwa panachangamka Zaidi?
Vp bado pana hitIla tar 30.nilienda hapo next door palikuwa pamepoa sana pia hata mademu kulikuwa hamna