Nijuzeni mwenzenu..

Nijuzeni mwenzenu..

hii thread imenichekesha lakini anyway nitarudi toa mchango wangu baadae
 
kabaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaang!
kauziwa mtu yatari kitu hichoooooo tukutane next episode!:yo:
yani mkaeeeeeeeeeeeeeeeee weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee miezi saba!
af chigafula tu(cc FP BTW nimekumissimo ujue dada mkubwa),ngoja niendelee
af chigafula tu eti leo twende tutacheze kibaba baba,na we tweeende
unafika kule oh ngoja ninyonye kwanza kitu tommy dairy (huyu nae sijui kaishia wapi alikuwa anatufaa kweli kwa meeting pwenti)
mara kidogo basi ngoja nitest tuu zali (ala ulijua ina mabega dogo kuwa itakwama)
sijui kikapasukia (tunajuaje labda mlivaa pulizo0
yani bado hujastuka tuuu!
muulize Nicas Mtei kama mi nakudanganya!we muulize tu!
 
Last edited by a moderator:

yaani mdogo wangu hufai kabisa.........
na nimekununia ujue
 
yaani mdogo wangu hufai kabisa.........
na nimekununia ujue

niiiini tena dada mkubwa niiini mamangu!
mie niwaudhi woote humu hata weeewe!kweli kamwali!kweeeli /
jovaa,kwani chaaani!?
 
hakuwa muwazi sana kama amesema ana ujauzito wa miezi nane jaribu kufanya hesabu ya tangu ulipokutana naya hadi alipokuambia ana mimba,kama kweli vina uhusiano. kutoa maji yenye radha ya maziwa si dalili pekee ya kukuhakikishia kuwa anamimba. kwakuwa ni mpenzi wako mpokee kaa naye akijifungua mwende mkapime DNA kama baada ya mtoto kuzaliwa utakuwa na wasiwasi bado.
 
Siku ya 10 BAADA ya period ndio mahali pake. Nimekamua chuchu zangu sasa hivi, zimetoa maji maji meupe (ningekuwa na camera ningepiga picha nikuattachie) and l am not pregnant.

uko pande zipi nikuletee camera yangu?...
 
Hizo chuchu zilikuwa zinatoa maziwa mtindi au fresh? Nataka nianzie hapo kukusaidia.
 
I see, tunakataliwa tangia tumboni but they can't live without us.
Umesema vyema Mwl, alisubirie jambazi lake maana Y chromosome zinakiherehere (kukimbia) ingawa zafa mapema.
Kaunga come this way, kumbe nia yake huyu mtu toka huko ni ya kupata mtoto wa kiume?? umeona sasa??

basi shaka odoa hii ni siku ya kwanza ya ovulation so Y xsome iko active zaid unaweza kupata wa kiume.
 
Last edited by a moderator:
kijana, huyo dada anaweza akawa na mimba kweli usimkatalie cha kujiuliza ni ya kwako?na pia kutokwa na maji kwenye maziwa ni jambo la kawaida kabisaaaaa! hata kama hauna mimba wala dalili za kupata mimba.
 
I see, tunakataliwa tangia tumboni but they can't live without us.
Umesema vyema Mwl, alisubirie jambazi lake maana Y chromosome zinakiherehere (kukimbia) ingawa zafa mapema.

mwache atukatae ila ajue nae alim-mimba mwanamke wala sio mwanaume mwenzie.
 
I see, tunakataliwa tangia tumboni but they can't live without us.
Umesema vyema Mwl, alisubirie jambazi lake maana Y chromosome zinakiherehere (kukimbia) ingawa zafa mapema.

sasa nimefika home ndio nimeusoma huu uzi vizuri lol! kwanza ndugu mtoa mada maziwa ya mama yana ladha gani?? chumvi sukari kama ya ng'ombe kama orol ama kama nn??

pili mpaka unyonye yatoke maji maji ulikuwa unampa raha ama karaha?? manake umnyonye mtu hadi majimaji ya kwenye matiti yatoke na imagine kabisa kwamba ulifanya ni chakula badala ya mtekenyo.

kilicho nichekesha zaid ni kwamba wanao watakuwa wanagawana shea na wewe pasu kwa pasu, nakushauri umlishe sana mkeo manake atakuwa ana kazi ya ku breast feed watoto wawili mkubwa mmoja na mdogo mmoja mweeh!

haikuishia hapo, wewe pulizo lako limepasuka hadi inapasuka wallah iyo friction ulokua unapiga hapo ungeweza kutengeneza moto mweeh! haya imepasuka ukaambaiwa mimba bado unaikataa ulifikiri tasa huyo binti kwamba hazai??

wanoko akina Kongosho na Kaunga wamekuthibitishia kwamba wewe ndo mwenye mimba bado ukaanza kulalamika mbona unaambiwa ni mtoto wa kike?? kumbe mwenzetu wewe unataka mimba ya dume khaaa! sasa kama ndivyo kwann ulijisumbua kuvaa ndom mkuu si ungepiga tu kavu ili ufaidi vyote utam na dume lako??

mmh! vijana wa kileo nisiseme sana kazi ipo jamani sijui baba zenu akina Dark City na Asprin walipitaje huku.

BTW Kongosho Klein ana crush na kabinti ka form 3, nimlete kwako kwa muda unisaidie malezi??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom