I can wait, l am a very patient person.
Blaine approves this post 🙂
Blaine approves this post 🙂
it is means alinifanyia test on how to make a woman feel special na i've passed. ukiwa na mimi utalia machozi ya furaha siku zote :A S shade:Amesema you are o.k, is it good enough???
overruled :nono:Plato disapproves
...kingine mwanamke anaweza kushika mimba siku ya kumi toka amalize kubleed?"huo ndio wacwac wangu...mkinijuza hayo nitajua pakuanzia tafadhali msinipuuze.
kwa hiyo? Unataka tukusaidie kumaliza la pili?
Braza hutaki gift ndogondogo. Na naposema ndogondogo namaanisha
size yako na si masalia.
Naweza kuthibitisha pasi shaka, mnajua kulea wadada.
Am here to be approved and you wont regret i swea!
Tena mtoto wa kike, anza maandalizi kaka kumpokea a newbaby girl, aah aah aah........
Kaunga come this way, kumbe nia yake huyu mtu toka huko ni ya kupata mtoto wa kiume?? umeona sasa??Mhh!!!...no prblm ila mbona mnaxema ntapata mtoto wa kike na sio wakiume?
kwa uzoefu wangu huyo msichana atakuwa ametoa mimba hivi karibuni, na hiyo ishu ya kudai ana mimba kibongo bongo hakuna mwanamke anayeweza akajua ana mimba katika siku kumi...ZINDUKA WEWE KAMA UMELALA..