Nijuzeni mwenzenu..

Nijuzeni mwenzenu..

mmh! vijana wa kileo nisiseme sana kazi ipo jamani sijui baba zenu akina Dark City na Asprin walipitaje huku.

BTW Kongosho Klein ana crush na kabinti ka form 3, nimlete kwako kwa muda unisaidie malezi??
Mi chichemi kitu.....

Vijana wa siku hizi si sawa na sisi vijana wa zamani. Kweli vya kale ni dhahabu.
 
Ndio yanatoka, sinimekwambia nimekamua mimi sasa hivi na yametoka.
4 plus 10 makes 14 hivyo hiyo ni fertile period kwa mtu mwenye circle ya siku 26-30.
Kaunga kumbe bado mdogo sana siee mi nilidhani umeshasahau hayo makitu!

CC: Eiyer, snowhite, gfsonwin (Kusema ukweli nimeshindwa nichangie nini nadhani am 'overqualified' hapa)
 
Last edited by a moderator:
Unapenda niwe mdogo eeh? Pole kwa disappointment. Aisee hiyo kitu ndio pills zangu. Sina uzazi wa mpango mwingine zaidi ya huo (a very good catholic lady). Lol

wow....nimeona apo tu......mi I thot bana uko over 45 hivi sasa hapa nipo kwen a huge dissapointment... Eiyer ana kazi sana kumbe
 
Last edited by a moderator:
wow....nimeona apo tu......mi I thot bana uko over 45 hivi sasa hapa nipo kwen a huge dissapointment... Eiyer ana kazi sana kumbe

Yule ni old news, so kama ni kazi basi anapewa na Paloma.
 
Last edited by a moderator:
Angetaka kumnasisha angesisitiza matumizi ya condom? Msimtie ujinga. Mtoto ni Baraka, wanaotafuta watoto wakisoma humu wanatamani kulia.
Hamu ilizidi, hii ni matunda yake.

wana dawa zao wanaweka mule ndani, condom lazima itoboke.
 
kijana, huyo dada anaweza akawa na mimba kweli usimkatalie cha kujiuliza ni ya kwako?na pia kutokwa na maji kwenye maziwa ni jambo la kawaida kabisaaaaa! hata kama hauna mimba wala dalili za kupata mimba.
Tena anatakiwa anyonye kwa bidii sasa hivi kabla mtoto hajazaliwa, manaake mtoto akizaliwa itakuwa ni zamu ya mtoto kunyonya.
 
Kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 yeye kwake siku ya 14 ndi ovulation day so kama anableed kwa muda wa siku tatu ukisema siku ya kumi toka amalize kubleed means ni siku ya kumi na tatu ya mzunguko wake so hapo mimba tayari coz mbegu za kiume zinaweza kusurvive siku tatu yai limitoka kwenye ovary linapokelewa moja kwa moja na mbegu za kiume be ready to be a father and congratulation
By the way mlikuwa mnafanya mashindano mpaka ukapasua?
 
Mambo vp wana jf? Naleta kwenu shida yangu nikiamini home of the great thinkers itanitatulia...
Sory kama nitakuwa nakiuka maadili ila sina maana mbaya...mwenzenu nina mchumba ambaye nimekuwa nae kwa muda wa takriban miez tisa mpaka sasa.,tangu nimpate miez kama sita na nusu hiv hatukuwahi kukutana kimwili mpaka ulipotimu mwezi wa 7 ndani ya uhusiano...tatizo ni kwamba mchumba huyu alivyokuja kwangu cku hiyo alidai anasiku ya kumi toka amalize mzunguko wake(period)alinisihi sana ni2mie kinga nisimuungilie hivihivi,sikukataa,mambo yalipoanza kama kawaida nilianza kumtafuta ni wapi akiguswa anasahau shida zote,wakati nafanya hivyo nilibahatika kunyonya chuchu zake but chakushangaza zile chuchu niliponyonya zilikuwa zinatoa dizaini ya majimaji yenye ladha ya maziwa nilishangaa kdogo,ila sikusema,muda ulipowadia nikazama ndani kuanza mechi,ubaya uliotokea ile condom ilipasuka na nilipopiga bao moja akakataa tena akiwaamefura hasira akidai kunauwezekano wa kushika mimba, INAENDELEA HAPO CHINI

This is your private business. Hayatuhusu.
 
Simu yako haina Camera? Do ze needful tupate picha. Si unajua Vijana siku hizi tunajifunza
kwa picha zaidi!

Haahaaa haaa hata kama ina camera, Kaunga ata do ze needful nakuweka picha ya maji maji nyenye ladha ya maziwa na kamwe sio chuchu zake...
 
Last edited by a moderator:
Unapopanda mbegu ya mchicha ujue utavuna mchicha na sio karanga wala mahindi,sasa umepanda spams utavuna mtoto,kwa ufupi tu nikueleze kidogo,wanawake tunamaumbule tofauti na mizunguzo ya hedhi pia tofauti,wengine kuanzia siku ya tisa ni siku yake ya hatari kwake na hata kutoka majimaji ni normal kumbuka hedhi itokapo ni yao hilo hivyo mambo yote hayo lazima yawepo,tatizo hatujui kujichunguza kila,lea mimba vipimo baadae kula ule mtu kashiba unatafuta sababu alikueleza mapema hayuko fit uroho ukazama sasa wataka acha mzigo mwisho wanawake wauwaji wakati hamtaki hulea
 
Mambo vp wana jf? Naleta kwenu shida yangu nikiamini home of the great thinkers itanitatulia...
Sory kama nitakuwa nakiuka maadili ila sina maana mbaya...mwenzenu nina mchumba ambaye nimekuwa nae kwa muda wa takriban miez tisa mpaka sasa.,tangu nimpate miez kama sita na nusu hiv hatukuwahi kukutana kimwili mpaka ulipotimu mwezi wa 7 ndani ya uhusiano...tatizo ni kwamba mchumba huyu alivyokuja kwangu cku hiyo alidai anasiku ya kumi toka amalize mzunguko wake(period)alinisihi sana ni2mie kinga nisimuungilie hivihivi,sikukataa,mambo yalipoanza kama kawaida nilianza kumtafuta ni wapi akiguswa anasahau shida zote,wakati nafanya hivyo nilibahatika kunyonya chuchu zake but chakushangaza zile chuchu niliponyonya zilikuwa zinatoa dizaini ya majimaji yenye ladha ya maziwa nilishangaa kdogo,ila sikusema,muda ulipowadia nikazama ndani kuanza mechi,ubaya uliotokea ile condom ilipasuka na nilipopiga bao moja akakataa tena akiwaamefura hasira akidai kunauwezekano wa kushika mimba, INAENDELEA HAPO CHINI

Sasaa.....? Kama ni kweli unawasiwasi kwann usiende kumpima? Labda hana hata hiyo mimba, au labda ana mimba ya miezi miwili? Chukua hatua mapema'
 
Back
Top Bottom