Nijuzeni kuhusu Nokia n9

cyrax

Member
Mar 12, 2017
93
125
Wadau salam,
Kama title inavyojieleza naomba kujua kidogo kuhusu Nokia n9
*specifications
*bei yake
ASANTENI SANA
 

Royal Son

JF-Expert Member
Dec 22, 2016
558
1,000
Nokia n9 mbona n9 simu ya Zamani sana boss 2010s hivi boss
Labda useme nokia 9 ndio ya juzi
 

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,235
2,000
Wadau salam,
Kama title inavyojieleza naomba kujua kidogo kuhusu Nokia n9
*specifications
*bei yake
ASANTENI SANA
This is 21st Century,
You must be civilised enough to know about google and YouTube to name the few..... Dummy take your questions there,and you will get clear answers of all you want to know,not here,we made no NOKIA bro!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom