nijuzeni kuhusu kusafisha dollar negative

Kingsimba

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
382
115
jamani me nimekwama!nijuzeni imekaaje hii ya kusafisha dollar negative!

1. jina ya dawa au matilio yanayo tumika kusafisha.

2. je hii biashara ipo kweli au magumashi

3. kama unafahamu ukweli tofauti tofati na utapeli nijuze.

natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom