Nijuzeni kuhusu Chama na Mogela

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,414
6,576
Chama na Mogela walikuwa na kitu gani sana special mpaka wakajizolea umaarufu katika soka la bongo, naombeni mnijuze...
 
Ilikuwa vita ya uwanjani pana tukio zamoyoni kaumia anatibiwa nje ya uwanja chama kasimama penye chaki anamsubiri waendeleze mtananange kifupi hata mtaani mtu ulikuwa ukimdai sana anakwambia mbona unafanya kama chama na mogella?
 
Sikumbuki ni mechi gani ya Simba na Yanga ambayo Zamoyoni Mogella alifunga goli huku Athumani Juma Chama akiwa beki.

Sikumbuki kabisa kwani Zamoyoni alikuwa anakuwa na wakati mgumu mno kumpita Chama (Rip).

All in all, walikuwa ni wachezaji wazuri mno kuwahi kutokea ktk nchi hii na historia itawakumbuka daima.
 
Hahahah shukrani! Imenikumbusha mechi ya ufunguzi wa kombe la dunia la mwaka 1990 pale Italy, mechi iliyokutanisha Argentina Vs Cameroon, jinsi mabeki wa Cameroon walivyomtreat Diego Maradona
 
Wakati ule washambuliaji walikuwa hawalindwi Kama Sasa full ubabe ndio maana tulikuwa na mabeki wanaitwa ninja
 
Ni kweli ila nadhani Kuna exaggeration nyingi kuhusu Hawa wawili
 
Ilikuwa vita ya uwanjani pana tukio zamoyoni kaumia anatibiwa nje ya uwanja chama kasimama penye chaki anamsubiri waendeleze mtananange kifupi hata mtaani mtu ulikuwa ukimdai sana anakwambia mbona unafanya kama chama na mogella?
Mmmh nilihudhuria mechi nyingi ambapo chama na mogella walikuwa wanacheza...najaribu kurudisha kumbukumbu zangu ni wakati au mechi gani mogella ameumia na chama Yuko pembeni anasubiri, na sijapata kumbukumbu hiyo...anyway niseme tu Kuna exaggeration nyingi kuhusu Hawa wawili...ila Kuna matukio ya golikipa wa yanga.wakati huo Hamis kinye ambaye aliwahi kumtoa meno mogella....kinye alikuwa hatari ..siyo tu kwamba alikuwa mchezaji Bali alikuwa pia mpenzi, shabiki na mwanachama ambapo siku ya ya mechi ya Simba na yanga yeye anaunganisha uchezaji wake na vitu hivyo vingine
 
Hahahah shukrani! Imenikumbusha mechi ya ufunguzi wa kombe la dunia la mwaka 1990 pale Italy, mechi iliyokutanisha Argentina Vs Cameroon, jinsi mabeki wa Cameroon walivyomtreat Diego Maradona
Ule ukuta wa Emmanuel kunde na capt Stephen tataw akina massing ulikuwa sio wa kumtuma mtoto dukani na maradona alikuwa sugu sio mchezo
 
Wakati ule washambuliaji walikuwa hawalindwi Kama Sasa full ubabe ndio maana tulikuwa na mabeki wanaitwa ninja
Kweli wewe ni mtoto nitafutie picha yoyote ambayo inaonyesha mshambuliaji wa kizazi chenu a alindwa na mabeki wa timu pinzani kama Mogella alivyokuwa anawekwa chini ya ulinzi na akina Bana na Jogoo Chama. Huyu Mogella alishachanywa kichwani akarudi na bandeji yake. Siku hizi vichezaji wa hovyo kbs zama zile unakuta jitu kama jumba limekaa nyuma jitu jitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa vita ya uwanjani pana tukio zamoyoni kaumia anatibiwa nje ya uwanja chama kasimama penye chaki anamsubiri waendeleze mtananange kifupi hata mtaani mtu ulikuwa ukimdai sana anakwambia mbona unafanya kama chama na mogella?
Inasemwa Zamoyoni alivyoomba kutoka Basi Chama nae akatoka maana akawa ameumaliza mwendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wewe ni mtoto nitafutie picha yoyote ambayo inaonyesha mshambuliaji wa kizazi chenu a alindwa na mabeki wa timu pinzani kama Mogella alivyokuwa anawekwa chini ya ulinzi na akina Bana na Jogoo Chama. Huyu Mogella alishachanywa kichwani akarudi na bandeji yake. Siku hizi vichezaji wa hovyo kbs zama zile unakuta jitu kama jumba limekaa nyuma jitu jitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ,nadhani hujamuelewa.
Alimaanisha kwamba , washambuliaji walikuwa hawalindwi na Waamuzi wakichezewa fujo na Walinzi kama kipindi hiki.
 
Kweli wewe ni mtoto nitafutie picha yoyote ambayo inaonyesha mshambuliaji wa kizazi chenu a alindwa na mabeki wa timu pinzani kama Mogella alivyokuwa anawekwa chini ya ulinzi na akina Bana na Jogoo Chama. Huyu Mogella alishachanywa kichwani akarudi na bandeji yake. Siku hizi vichezaji wa hovyo kbs zama zile unakuta jitu kama jumba limekaa nyuma jitu jitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio mtoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom