Nijuzeni hili swali la Kisayansi

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
6,810
8,806
Kila siku nasikia, nasoma, naangalia youtube, hata kwenye tv, na pia ni juzi tu wenzetu wametuma chombo Mars na wanasema kitafika october.

SWALI: Hawa watu(wanasayansi) wanajuaje kama MARS ipo huko na hawajawai kukosea wakatua hata venus au pluto na sayari zote zipo hewani yaan wanatua hapo hapo walipolenga

Nijulisheni hapo wanazuoni
 
ngoja wataalamu waje vinginevyo mi naweza kukuambia kwa ufupi tu kua wanavicontrol mf hata ndege inayotoka nairobi kwenda uholanzi mbona haikosei ikatua london au tunisia

bora ndege mkuu, fikiria ni kua unatoka nje ya dunia kabisa sasa wanajuaje mars ipo huko uelekeo wao na huko kuna masayari mengi lakini sijasikia hata siku moja imepata ajali
 
It is all about calculations hii inawezesha kujua position ya sayari wapatoenda kuexplore katika mda flani kulingana na spidi ya hicho chombi.umbali kutoka hapa kwenye mars na dunia inajulika pia spidi ya mars kuzunguka jua pia inajulikana hivyo ni rahisi kujua position ya sayari kufikia mda flani kulingana na makadirio ya mda ambapo chombo kitachukua kufikia hiyo sayari. .kwa mfano chukulia gari inaondoka ubungo kwa spidi ambayo ni constant 120km/h ukichukuwa mda labda lisaa 1h unajua gari limeshasafiri km 120 ambapo assumption kwamba linaweza kuwepo maeneo ya ubena chalinze hivyo na were unahitaji chombo kitachokuwezesha kufikia hiyo hata kwa spidi kubwa.pia uwepo wa vitu Kama lasers na telescopes ni rahisi Sana kuijua sayari ambayo inaenda kutembelewa.
 
nakushukuru sana mkuu kwa maelezo.yako nimepata kitu

sasa kwann hizo vyombo havijawai kupata hata ajali vikagonga sayari ndogo ndogo wasizoziona wao
 
Mhh hapa kwenye sayari ndogo ndogo sijui unamaanisha nini lakini sayari Kama sayari zote zinazuguka jua katika orbit kwa sababu sayari ndogo ni mars na Neptune Kama sijakosea zote hizi zipo kwenye orbit tu Kama hii dunia yetu. Hatari kubwa zipo Kama vimondo kwa sababu hizi zinauwezekano zikapita karibu na USO was sayari. Mkuu hivyo vinavyotumwa vinakuwa vina sensors nyingi mfano Kama vile microwaves na ikadetemine spidi ya hiko kimondo na kujuwa namna ya kuepuka madhara kwa sababu pia huwa wanacontrol kutoka ground lakini vimondo vinapita kwenye uso wa sayari huwa vinavutwa kwa mfano Jupita inailinda sana hii dunia na vimondo kwa sababu jupita Ina gravity kubwa Sana hivyo inaiepusha dunia na mvua za vimondo.
 
asante, nimeelewa hasa hapo uliposema hizo sensor na.nikakumbuka nilikua naangalia jinsi sensor hizo microwave(electromagnetic wave) zinavotumika kudetect vitu
 
nakushukuru sana mkuu kwa maelezo.yako nimepata kitu

sasa kwann hizo vyombo havijawai kupata hata ajali vikagonga sayari ndogo ndogo wasizoziona wao
Eneo hatari zaidi kupita ni kati ya Mars na Jupiter ndo kuna mawe mengi zaidi, ila hivi vyombo vinavyokwenda angani vinatengenezwa na madini magumu sana unless vinagongana na mawe makubwa sana(asteroids) haviwez haribika kirahisi
 
Eneo hatari zaidi kupita ni kati ya Mars na Neptune ndo kuna mawe mengi zaidi, ila hivi vyombo vinavyokwenda angani vinatengenezwa na madini magumu sana unless vinagongana na mawe makubwa sana(asteroids) haviwez haribika kirahisi
Mkuu samahani sio Kati ya mars na Jupiter ndo kuna ukanda wa asteroids belt.
 
Mhh hapa kwenye sayari ndogo ndogo sijui unamaanisha nini lakini sayari Kama sayari zote zinazuguka jua katika orbit kwa sababu sayari ndogo ni mars na Neptune Kama sijakosea zote hizi zipo kwenye orbit tu Kama hii dunia yetu. Hatari kubwa zipo Kama vimondo kwa sababu hizi zinauwezekano zikapita karibu na USO was sayari. Mkuu hivyo vinavyotumwa vinakuwa vina sensors nyingi mfano Kama vile microwaves na ikadetemine spidi ya hiko kimondo na kujuwa namna ya kuepuka madhara kwa sababu pia huwa wanacontrol kutoka ground lakini vimondo vinapita kwenye uso wa sayari huwa vinavutwa kwa mfano Jupita inailinda sana hii dunia na vimondo kwa sababu jupita Ina gravity kubwa Sana hivyo inaiepusha dunia na mvua za vimondo.

Mkuu sayari ndogo kuliko zote kwenye solar systeam ni Zebaki
 
Mkuu samahani sio Kati ya mars na Jupiter ndo kuna ukanda wa asteroids belt.
itakuwa mdau kachanganya sehemu yenye mawe mengi na vimondo ni ukanda wa asteroid belt upo kati ya orbir ya Mars na Jupiter
uploadfromtaptalk1462374234712.jpg
 
Kuna Kitu tunaita Celestial calculation au astronomical calculations yani hapo ktk hizo maada ya vitu vilivyokatika space tunajua ukubwa(mass), velocity ( mwendo kasi)kwa kutumia kanuni za celestial calculations sayari zote zinajulikana zinalizunguka jua kwa muda gani ivo ni wazi tutajua mars sasa hiko hap karibu na dunia sasa wakati wa mpishano tunarusha chombo ambacho tunajua kabisa kitaifikia mars kwa muda fulani na kutokana na speed yake itakuwa wapi, Pagumu ni escaping velocity na chombo kutua ktk sayari husika chombo kikishakuwa ktk orbit ya mars kinapunguzwa speed na kuvutwa na hatimae kudondokea ktk uso mars hapo electronics inaendelea sasa field kama robotics,mechanical,electrical na computer science wanaanza kukiendesha chombo hicho chenye sensors,camera , transceivers nk

Note: hakuna binadamu aliekanyaga mars wala ktk moon kutokana na kutokuwa na uhakika wa kuweza kurudi duniani, robotics mbili viking 1 na viking 2 ndo za kwanza kufika mars
 
Ngoja nikujibu mkuu. Ukumbuke kuwa kila kitu katika universe kipo kwenye motion. Hata jua pia lipo kwenye motion. Sasa unapotaka kwenda Mars kutokea dunia kwanza huwa wanasubili kipindi ambacho orbit ya mars na dunia zinapokua kalibu au zinapokalibiana hii ni kwasababu ya kufupisha safari pia kukwepa miale hatari ya jua. Hivyo safari huanza kwa imagination kwamba nikitoka duniani mpaka point B kwa kipindi fulani nitaikuta mars hapo.. ukibugi hesabu hata nukta umepotea.
 
mkuu angalia kwenye bajet za hao jamaa jinsi wanavyoweka mpunga mrefu kwe researches,wana msing mzuri toka zamani
 
Note: hakuna binadamu aliekanyaga mars wala ktk moon kutokana na kutokuwa na uhakika wa kuweza kurudi duniani, robotics mbili viking 1 na viking 2 ndo za kwanza kufika mars

mkuu asante sana SANA, sasa mbona tunaambiwa kuna wanadam washafika mwenzin wakaweka hadi bendera zao
 
Ngoja nikujibu mkuu. Ukumbuke kuwa kila kitu katika universe kipo kwenye motion. Hata jua pia lipo kwenye motion. Sasa unapotaka kwenda Mars kutokea dunia kwanza huwa wanasubili kipindi ambacho orbit ya mars na dunia zinapokua kalibu au zinapokalibiana hii ni kwasababu ya kufupisha safari pia kukwepa miale hatari ya jua. Hivyo safari huanza kwa imagination kwamba nikitoka duniani mpaka point B kwa kipindi fulani nitaikuta mars hapo.. ukibugi hesabu hata nukta umepotea.

duh, interesting sana, kinachonishangaza hawajawah kupotea
 
mkuu asante sana SANA, sasa mbona tunaambiwa kuna wanadam washafika mwenzin wakaweka hadi bendera zao
Ile ilikuwa vita baridi tu kati ya marekani Na urusi hivo ilipelekea marekani kufake moon landing na mkanda mzima ulichezewa area 51 huko nevada sehemu hii ni siri na haipo ktk ramani ya dunia kuna majaribio kibao ya kiscience hufanyika huko, halafu evidence zipo kama utatazama video ya neil Armstrong akiwa mwezini na ukawa na ideas za astrophysics basi hutahitaji maelezeo kugundua hii ni fake trip swali dogo hivi tangu 1969 mpaka leo kwanini husikii safari ya mwezini au jamaa kurudkurudi tena ile hali tech imekuwa , Nasa wana trip ya Mars 2030
 
Swali la nyongeza, wanasayansi wanaoendaga huko kwenye Sayari nyingine wanatumia aina gani ya mawasiliano kuwasiliana na walioko duniani? Internet inakamata hadi huko Mars?
 
Wanasayansi hawajawahi kufika mars pili vyombo wanavyotuma mars na space nyingine wanawasiliana navyo kupitia Sattelite internet, Hata mars kuna satellite zina orbit
 
Back
Top Bottom