Nijuze shule nzuri O-level Arusha au Kilimanjaro

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,112
2,379
Heshima iwe kwako,

Naomba kuulizia shule nzuri kwa mikoa tajwa hapo juu kuna ndugu yangu kaniulizia kwa ajili ya maandalizi ya mwanaye kuanza kidato cha kwanza mwakani.

Mtoto ni msichana na yuko very smart (namfaham). Mama yake aliniulizia Kisimiri ila sidhani kama Kisimiri wana o-level.

Natanguliza shukrani.
 
Mpeleke International School of Moshi(ISM) hautojutia milion 60 yako akitoka hapo ni havard full sponsored
 
Heshima iwe kwako,

Naomba kuulizia shule nzuri kwa mikoa tajwa hapo juu kuna ndugu yangu kaniulizia kwa ajili ya maandalizi ya mwanaye kuanza kidato cha kwanza mwakani.

Mtoto ni msichana na yuko very smart (namfaham). Mama yake aliniulizia Kisimiri ila sidhani kama Kisimiri wana o-level.

Natanguliza shukrani.
Mpeleke St mary Goreti ipo moshi kilimanjaro
 
Back
Top Bottom