Nijuze kuhusu mwenge wa uhuru

social_science

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,106
1,259
habari wakuu
Kesho tukiamka salama basi kutakuwa na ugeni mkubwa maeneo haya mwenge wa Uhuru utawasili kufungua miradi mbalimbali hapa,nimejaribu kufatilia historia ya mwenge huu pamoja na umuhimu wake bila mafanikio wikipedia wanadai ulianzishwa uko Usa kutafuta haki ya wavuta sigara wanawake sijajua huku kwetu.

nawasilisha
 
Back
Top Bottom