Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 20,692
- 20,451
Nimekuwa naona Wassira mara atoe matamko, mara ajibu shutuma, mara azindue miradi, nk. Sasa ningependa nijue majukumu ya Ofisi ya Rais-Mahusiano na Uratibu (President's Office-Social Relations and Co-ordination) hasa ni yapi! Si kwamba ninapinga anachofanya waziri Wassira, ila ni kwamba sielewi wizara yake inashughulika na mambo gani hasa, so naomba mwenye kufahamu anijulishe hapa. Hapa ningependa zaidi kufahamu wizara hii kuliko waziri mwenyewe (Wassira).