Nijenge nyumba ya chini au ghorofa?

Nijenge nyumba ya chini au ghorofa?

Kwanini unashauriwa na fundi kwa mradi mkuba kama huo .tafuta mtaalamu (Consultant) akushauro kitaalamu
Architect
Qs
Tatizo mnakimbia gharama za ushauri halafi mnakuja kujuta baadae
 
Bado sijachelewa ndo maana baada ya fundi kunieleza hayo nikaja hapa jamvini nikiamini Kuna watu wenye upepo wa maarifa tofauti kwahiyo ushauri wako nitauweka kwenye consideration 🙏
 
Fundi kuniambia kama unataka kujenga
nyumba yenye vyumba vinne au zaidi ni bora ujenge ghorofa.

Kujenga nyumba ni jambo kubwa. Unapofikia hatua ya kuamua idadi ya vyumba vya kulala, swali muhimu linajitokeza. Nijenge nyumba ya chini au ghorofa ?

Fundi kashauri kama unataka nyumba yenye vyumba vinne au vitano vya kulala ni bora ukajenga ghorofa. Lakini Ikiwa vyumba havizidi vitatu basi Jenga nyumba ya chini.
Kama unajenga jengo la vyumba vitano au vinne gharama hazitofautiani sana kama unavyofikiria

Wengi hufikiri nyumba kubwa ya chini ni nafuu. Lakini ukilinganisha nyumba yenye vyumba vitano vya chini na ghorofa yenye vyumba vitano gharama ni kama zinakaribiana kuwa sawa .

Tofauti iyaweza kuwa kati ya asilimia 25 hadi 35 tu.Siyo mara mbili au tatu ya gharama kama watu wengi wanavyodhani.
Fundi kaendelea kunishauri kama nitaamua kujenga nyumba yenye vyumba vinne au zaidi ya chini, maana yake nyumba hiyo itagharimu zaidi kwenye
Paa kubwa , mabati mengi, mbao nyingi.
Utajenga kuta nyingi za kugawa vyumba hivyo matofali ni mengi zaidi.
Itamwagwa jamvi sehemu kubwa zaidi.
Dari litakuwa pana zaidi. Hivyo kuhitaji mbao zaidi, boards,na vifaa vingi vya finishing.
Huku ghorofa ya vyumba vitano inagharimu zaidi kwenye
msingi na kutengeneza slab.

Hivyo, pesa unayotumia kujenga jumba kubwa la chini ndiyo hiyo hiyo utaongezea kidogo na kupata jengo la ghorofa.

Je huyu fundi yupo sahihi???
Acha uongo,
Hakuna fundi yoyote uliewasiliana nae akakupa huu ushauri. Wewe umeingia Facebook ukasoma andiko la huyu mwamba unakuja jf kudanganya watu sijui fundi kakushauri.

Screenshot_20260628-231533.jpg

Screenshot_20260628-231453.jpg
 
Fundi kuniambia kama unataka kujenga
nyumba yenye vyumba vinne au zaidi ni bora ujenge ghorofa.

Kujenga nyumba ni jambo kubwa. Unapofikia hatua ya kuamua idadi ya vyumba vya kulala, swali muhimu linajitokeza. Nijenge nyumba ya chini au ghorofa ?

Fundi kashauri kama unataka nyumba yenye vyumba vinne au vitano vya kulala ni bora ukajenga ghorofa. Lakini Ikiwa vyumba havizidi vitatu basi Jenga nyumba ya chini.
Kama unajenga jengo la vyumba vitano au vinne gharama hazitofautiani sana kama unavyofikiria

Wengi hufikiri nyumba kubwa ya chini ni nafuu. Lakini ukilinganisha nyumba yenye vyumba vitano vya chini na ghorofa yenye vyumba vitano gharama ni kama zinakaribiana kuwa sawa .

Tofauti iyaweza kuwa kati ya asilimia 25 hadi 35 tu.Siyo mara mbili au tatu ya gharama kama watu wengi wanavyodhani.
Fundi kaendelea kunishauri kama nitaamua kujenga nyumba yenye vyumba vinne au zaidi ya chini, maana yake nyumba hiyo itagharimu zaidi kwenye
Paa kubwa , mabati mengi, mbao nyingi.
Utajenga kuta nyingi za kugawa vyumba hivyo matofali ni mengi zaidi.
Itamwagwa jamvi sehemu kubwa zaidi.
Dari litakuwa pana zaidi. Hivyo kuhitaji mbao zaidi, boards,na vifaa vingi vya finishing.
Huku ghorofa ya vyumba vitano inagharimu zaidi kwenye
msingi na kutengeneza slab.

Hivyo, pesa unayotumia kujenga jumba kubwa la chini ndiyo hiyo hiyo utaongezea kidogo na kupata jengo la ghorofa.

Je huyu fundi yupo sahihi???
Huyo fundi ni kimeo. Hana tofauti na yule aliyeshauri kuku wa kienyeji kutoka Dodoma na singida, waitwe kuku wa kanda ya kati eti watauzika zaidi sokoni.

Tofauti ya Ghorofa na nyumba ya chini iko kwenye:
Msingi ghrama kubwa x10
Nguzo angalau 10
Beams
Nondo za slab, nguzo na beams
Haijengwi na fundi michael
Kokoto zenye akili
Cementi nyingi
Maji mengi
Etc
 
Fundi kuniambia kama unataka kujenga
nyumba yenye vyumba vinne au zaidi ni bora ujenge ghorofa.

Kujenga nyumba ni jambo kubwa. Unapofikia hatua ya kuamua idadi ya vyumba vya kulala, swali muhimu linajitokeza. Nijenge nyumba ya chini au ghorofa ?

Fundi kashauri kama unataka nyumba yenye vyumba vinne au vitano vya kulala ni bora ukajenga ghorofa. Lakini Ikiwa vyumba havizidi vitatu basi Jenga nyumba ya chini.
Kama unajenga jengo la vyumba vitano au vinne gharama hazitofautiani sana kama unavyofikiria

Wengi hufikiri nyumba kubwa ya chini ni nafuu. Lakini ukilinganisha nyumba yenye vyumba vitano vya chini na ghorofa yenye vyumba vitano gharama ni kama zinakaribiana kuwa sawa .

Tofauti iyaweza kuwa kati ya asilimia 25 hadi 35 tu.Siyo mara mbili au tatu ya gharama kama watu wengi wanavyodhani.
Fundi kaendelea kunishauri kama nitaamua kujenga nyumba yenye vyumba vinne au zaidi ya chini, maana yake nyumba hiyo itagharimu zaidi kwenye
Paa kubwa , mabati mengi, mbao nyingi.
Utajenga kuta nyingi za kugawa vyumba hivyo matofali ni mengi zaidi.
Itamwagwa jamvi sehemu kubwa zaidi.
Dari litakuwa pana zaidi. Hivyo kuhitaji mbao zaidi, boards,na vifaa vingi vya finishing.
Huku ghorofa ya vyumba vitano inagharimu zaidi kwenye
msingi na kutengeneza slab.

Hivyo, pesa unayotumia kujenga jumba kubwa la chini ndiyo hiyo hiyo utaongezea kidogo na kupata jengo la ghorofa.

Je huyu fundi yupo sahihi???
Fundi hayupo sahihi maana ujenzi wa ghorofa gharama kubwa ipo kwenye msingi (foundation) na slab. Combination ya vitu hivyo viwili ni nyumba nyingine tosha kabisa. Halafu zaidi ya hapo finishing ya ghorofa ina gharama kubwa vilevile. Hapo bado gharama za usajili kutoka ERB, AQRB na CRB.
 
Kujenga ghorofa ni maamuzi
 
Attachments

  • 3459b1af422b370628fb0300451881c1_1785985698910.mp4
    9.4 MB
Back
Top Bottom