Niitaji SIMU AINA YA HTC Desire

Niitaji SIMU AINA YA HTC Desire

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini bandugu

Naitaji sana simu aina ya HTC nimeweka picha hiyo chn hapo
Refurbished Sprint HTC Evo 4G Android Phone
650 × 650 - 37k - jpg

htc.jpg

uwezo wangu ni 100,000/= pls mwenywe nayo anijuze au anipm
kwa maelezo zaidi
 
sprint ni mtandao wa marekani hapo ni kama umeandika huawei ya tigo.

na refurbished ni simu ambayo iliharibika ikarudishwa kiwandani wakairepair. refurbished ni nzuri kuliko used.

unaweza ukaipata ikawa locked vile vile inaweza kukusumbua mambo ya ku unlock.
 
asante mkuu kwa kunielewesha na kunisaidia hapa kwani wngine hatujui kabisa

Back
Top Bottom