Niishije ishije kwenye hiyo miaka iliyobakia?

Niishije ishije kwenye hiyo miaka iliyobakia?

Sasa hivi acha kufurahisha watu, huwezi kutatua matatizo ya watu wote Duniani. Jaribu kuwa selfish kidogo emotions weka pembeni na enjoy maisha yako mwenyewe. Walimwengu hawana habari na wewe watakunyonya mpaka mifupa ife lofa
 
Back
Top Bottom