Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,508
- 2,058
- Thread starter
-
- #41
Freemason ni taasisi halali kabisa na hapa Tz inafanya shughuli zake ki halali na inatambuliwa na serikali ya Jamuhuri kwa kuwa haikiuki katiba ya nchi.
Na pia ni mashoga wakubwa na wenye kuoa au kuolewa na wanyama pamoja na ndoa za jinsia moja.
Kijana umesema ni tungo zako kumbe umecopy kwenye kitabu
Lakini hongera maana hata kuandika hii chapisho kwa lilivyo refu umejitolea safi sana
Free idea umesema umeandika kwa "kutumia akili binafsi bila machapisho wala vitabu rejeaa..."
Huo ni uongo mkubwa sana. Ww ulikuwepo kipindi cha kina solomon na kipindi chote hicho ili uweze kuandika ulicho andika kutoka "kichwani kwako" mwenyewe?
Ni lazima ulisoma na kupitia sources flani flani hadi kuweza kuandika hio post hapo juu. It can never come from your own mind.
Pili mtoa mada knowledge yako ya freemason ni bora kuliko wengi wa watu lakini bado uko kama 25% right which is good considering what others think about this fraternity.
Yote haya umetumia fikra zako tu?
You are so geneous! Bravo mkuu!
Asante mkuu kwa kutambua uelewa wangu.na kuhusu kuwepo wakat wa akina solomon ni kwel kabisa sikuwepo ila historia yasema hayo na nilimaanisha sijakopy na kupaste bali naandika kwa kutmia kichwa changu
Nitaaanza kwanza kwa kuifafanua maana ya Free mason na misingi yake,(narudia tena please hii ni kwa mujibu wangu na nnaandika kutoka kichwan sio machapisho yoyote).
So many contradictions.Wanasema hawana dini lakini wanatoa makafara, wanataka kuitawala Dunia na ku initiate watu wengi lakini wana operate kisiri. Mambo mengi yamejificha kwa hii Organization.Msidanganye watu hasa walioko kwenye fani ya ujenzi
pepo tokaaa
Waache waingie kichwa kichwa tu! Yakiwakuta tunaomba mrejesho!
ASANTE mkuu,ni kwel nimetumia kichwa.
Na njia ya kujiunga, unafuata yaratibu gan au wanataka vigezo gan?
sasa huoni kuwa umefanya plagariasm kitu ambacho hakiruhusiwi uwezi kusema mambo ya king Solomon wakati ukuwepo na wengi tulisoma ndo tukaelewa mkuu wewe sema kuna sources ulipitia ndo ukaweza ku turn into your words
Ni kufanyakitu usichojua athari zake!Kuingia kichwa kichwa maana yake nn??
,,lengo la uzi wangu ni kueleza ukwel unaopozoshwa kwa sababu ya hofu ya kugombea waumini na sio kuvuna wafuasi maana sina pa kuwapeleka
Ha ha ha! Umeoteshwa.
pepo tokaaa
Freemason ni taasisi halali kabisa na hapa Tz inafanya shughuli zake ki halali na inatambuliwa na serikali ya Jamuhuri kwa kuwa haikiuki katiba ya nchi.
ni mtambo uliotumika kuiiba na kuificha ndege ya malaysiaSijauelewa pepo ni nini??
Ni kufanyakitu usichojua athari zake!
Narudia,masonic ni Idea kama Idea zingine za kimaisha zenye misingi fulani.
Ili iweje?