Nihurumieni mwenzenu nakufa

Pole na Hongera;Kama waliziingiza wenyewe basi fanya hivi nenda kapitia penal code ujue maximum unawezafungwa muda gani.Maana hizo pesa zilikuja kama za tatu mzuka so zaweza kuwa halali yako.Pili Je hizo ambazo ulitarajia kuzipata zilishalipwa?kama hazijalipwa waambie wasubiri zikija wakate juu kwa juu.Tatu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani we ndio wa kwanza kufa?? Nenda kafie mbali hko manispaa ikuchimbie chini.
 
Yani katika watu walionifanya nicheke na kuanza wiki vizuri ni wewe. Yani nimecheka hadi nashikilia tumbo....
 
Hahaaa iv huu uzi bd upo, Mtoa mada alikuja? nakumbuka ule usiku anaupost tu niliuona halaf akapotea
 
Ebu siku nyingne jaribu kutengeneza Uongo wako ufanane na Ukwel.
Umesema Bank walikuingizia fedha milion 25 wakat huo nawe ulkua unategemea kupata fedha ukadhani ndo izo.
SWALI! Je wew ulitegemea hao watu wakowakuingizie shs ngap? kama pesa uliotaraji wakuingizie hao watu wako na walizokuingizia kimakosa watu wa benki kam ni Tofauti kwanin hukushtuka?

Hujatuambia km hao watu uliowategemea kukuingizia fedha ujasema km waliingiza izo pesa
Mwisho, nafikiri ingekua busara sn km ingekua pale walipokuingizia izo fedha ungekuja apa kuomba Ushauri(whether uzitumie or not) hop ungepata ushauri mzur sn ambao ungekusaidia usingeingia kweny matatizo aya
POLE SANA LABDA WEKA NAMBA ZA SIMU TUKUSAIDIA ATA BUKU BUKU UKITAKA WATU 25 WAKUKUPA MILION 1 kila mmoja hutawapata
 
Mara ya mwisho nimeona amesema anaenda bank, nasubiria arudi atuambie kilichojiri huko bank
 
Anatuzingua tu huyu mkuu mill 25 yote adhulumiwe kiboya boya alafu atuletee shida zake humu
Kabla ya kuzamisha hiyo hela yote kwenye biashara bank wanakuwa walishajua ilikopotelea kwa nn hakurudisha ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…