Nihamie wapi kati ya Arusha na Mbeya?

Sante mkuu kwa ushauri..!
 
Arusha.......jiji la madolare.......
njoo........
Msalimie The Finest! naona umeamua kumficha kweli.....dah huko Mongolia utarudi lini, maana huku Yaeda chini tumekumiss sana ukujeee na shemela
 
Sante braza..! But do you think Arusha might be best place to a person who's really starting life and had no capital at all..???
I think it's hard (its my thought)...

Arusha z my home though m not there currently, its among expensive cities....

living there without having good start life ll be hard, unless u hv some of ua relatives who ll support u over there especcially in accomodation sphere.
 
Am pretty sure,the best place for you to live is mbeya city coz there are many opportunities,and life is very easier, u will not regret
 
Mi naishi Arusha lakini naipenda mbeya na ni nzuri kwa maisha. Nashauri chagua mbeya
 
Mi naishi Arusha lakini naipenda mbeya na ni nzuri kwa maisha. Nashauri chagua mbeya
Sante! Ila mbeya fursa hasa ni zipi mzunguko wa pesa na biashara ni kubwa kivile au ndiyo ile eti chakula bei rahis??
 
Am pretty sure,the best place for you to live is mbeya city coz there are many opportunities,and life is very easier, u will not regret
Sante! Urahis wa maisha upo kivip au ndiyo vile chakula na nyumvmba cheap kumbe hamna mzunguko wa pesa.. !
 
You hv a point braza..! Ofcourse i hv no one behind to support, nitakuwa alone but am so courageous even to start from zero..
 
Sante! Urahis wa maisha upo kivip au ndiyo vile chakula na nyumvmba cheap kumbe hamna mzunguko wa pesa.. !
Labda nitumie kiswahili lugha imekuchanganya
Ninaposema opportunities nilimaanisha kuna fursa nyingi za kumuingizia mtu kipato endapo ataamua kuzitumia hizo fursa.
Kwa upande wa maisha nayo yako chini pamoja na mzunguko wa pesa kuwa mkubwa bado maisha si ghali kwa ujumla wake si chakula,nyumba na mavazi pia,yaani ile basic needs utazipata kwa gharama ndogo sana mbeya
Mbeya fursa za kibiashara ni nyingi inategemea na interest yako ww iko upande upi,kama unapenda biashara ya mazao ule mkoa ndo ghala la chakula,na ni mkoa ulio mpakani mwa Zambia na Malawi hapo mbeya utafanya biashara na wakongo,wazimbabwe,wazambia,wamalawi na ata waafrika kusini.kwenye boda pale Tunduma au bora ya Malawi Kule kyela
Lakini pia umezungumzia uzoefu wa tours hii pia ni opportunity ambayo IPO siku hizi mbeya kuna Songwe international airport ndege za kimataifa zimeanza kutua pale na wageni kila kukicha wanaingia pale mbeya kwa ajili ya kutembelea vivutio vilivyo nyanda za juu kusini,mbeya pana kampunii nyingi za tours
Ningekushauri kabla ya yote nenda kwanza kafanye survey kidogo kaa ata wiki then uje uende arusha ukae wiki nako
Naamini baada ya hizi survey utapata jibu sahihi kabisa
Nikutakie kila lakheri katika safari yako yakuhamisha makazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…