Nihame tena, nimewachanganya mabinti 3

Aventus

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,914
1,977
Tokana na vurugu za mpenzi wangu wa zamani niliamua kuhama mtaa na kupanga asipopajua, nikaanza mahususiano mapya na jirani yangu cha kushangaza kumbe mother house ni shoga yake na huyu girlfriend wangu wa zamani, zaidi ya mara mbili nimemuona anakuja hapa home.

Kibaya zaidi huyu mother house ana mdogo wake alikua akisoma Dodoma amerudi Jana nae pia nilishaburuza kitambo kidogo kabla ya kuhamia hapa na sikujua kama ni ndugu wa huyu mama. Nimekua nikiheshimika sana hapa home na yule kisirani bado hajajua nakaa hapa, ninavomjua akijua shughuli ipo nashindwa nifanyaje.

Ushauri please.
 
Hiyo ni vita na namna rahisi ya kuiresolve siyo kukimbia, mfuate kila mmoja kwa muda wake umfungukie juu ya uhalisia wa mambo na dhumuni lako la kuwatema na kubaki na mother house. Mwambie mother house ukweli na nia yako ya kutulia na peke yake maana unapenda n.k
Kama wakiendelea kusumbua, kaa kimya tu, wakichoka wataacha na wasipoacha hama tena na kuanza upya kwingine.
 
Mmmh...shem una mambo. Ile promotion ya kuongeza dushe ulipata wateja wa vibamia?
 
Ntajaribu chief
 
Haina nomer bob
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…