Nihame tena, nimewachanganya mabinti 3

Aventus

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,914
1,976
Tokana na vurugu za mpenzi wangu wa zamani niliamua kuhama mtaa na kupanga asipopajua, nikaanza mahususiano mapya na jirani yangu cha kushangaza kumbe mother house ni shoga yake na huyu girlfriend wangu wa zamani, zaidi ya mara mbili nimemuona anakuja hapa home.

Kibaya zaidi huyu mother house ana mdogo wake alikua akisoma Dodoma amerudi Jana nae pia nilishaburuza kitambo kidogo kabla ya kuhamia hapa na sikujua kama ni ndugu wa huyu mama. Nimekua nikiheshimika sana hapa home na yule kisirani bado hajajua nakaa hapa, ninavomjua akijua shughuli ipo nashindwa nifanyaje.

Ushauri please.
 
Hiyo ni vita na namna rahisi ya kuiresolve siyo kukimbia, mfuate kila mmoja kwa muda wake umfungukie juu ya uhalisia wa mambo na dhumuni lako la kuwatema na kubaki na mother house. Mwambie mother house ukweli na nia yako ya kutulia na peke yake maana unapenda n.k
Kama wakiendelea kusumbua, kaa kimya tu, wakichoka wataacha na wasipoacha hama tena na kuanza upya kwingine.
 
Tokana na vurugu za mpenzi wangu wa zaman niliamua kuama mtaa.na kupanga asipopajua.nikaanza mahususiano mapya na jirani yangu.cha kushangaza kumbe mother house ni shoga yake na huyu girlfriend wangu was zamani.zaidi ya mara mbili nimemuona anakuja hapa home.kibaya zaidi huyu mother house ana mdogo wake alikua akisoma Dodoma amerudi Jana nae pia nilishaburuza kitambo kidogo kabla ya kuhamia hapa na sikujua kama ni ndugu wa huyu mama.nimekua nikiheshimika sana hapa home na yule kisiran bado hajajua nakaa hapa.ninavomjua akijua shughuli ipo.nashindwa nifanyaje.ushaur please
Mmmh...shem una mambo. Ile promotion ya kuongeza dushe ulipata wateja wa vibamia?
 
Hiyo ni vita na namna rahisi ya kuiresolve siyo kukimbia, mfuate kila mmoja kwa muda wake umfungukie juu ya uhalisia wa mambo na dhumuni lako la kuwatema na kubaki na mother house. Mwambie mother house ukweli na nia yako ya kutulia na peke yake maana unapenda n.k
Kama wakiendelea kusumbua, kaa kimya tu, wakichoka wataacha na wasipoacha hama tena na kuanza upya kwingine.
Ntajaribu chief
 
Cheki jitaidii kuyajengaa na huyoo mama mwenye nyumbaa asijeetoaa siri kule zen jitaidi pia kuwa very attentive kwa kueka ata ma-spy illi ishu isije bumburukaa chamwishoo punguzaa naww ss hao madent wapogo semaa gangaa life kwanzaa engua mjengo songa mbele jembe langu
Haina nomer bob
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom