Nihame tena, nimewachanganya mabinti 3

Nihame tena, nimewachanganya mabinti 3

labda may b hayajanikuta... ila inakuaje mtu analete vurugu kwako na wewe unamuangalia tu.
 
Tokana na vurugu za mpenzi wangu wa zamani niliamua kuhama mtaa na kupanga asipopajua, nikaanza mahususiano mapya na jirani yangu cha kushangaza kumbe mother house ni shoga yake na huyu girlfriend wangu wa zamani, zaidi ya mara mbili nimemuona anakuja hapa home.

Kibaya zaidi huyu mother house ana mdogo wake alikua akisoma Dodoma amerudi Jana nae pia nilishaburuza kitambo kidogo kabla ya kuhamia hapa na sikujua kama ni ndugu wa huyu mama. Nimekua nikiheshimika sana hapa home na yule kisirani bado hajajua nakaa hapa, ninavomjua akijua shughuli ipo nashindwa nifanyaje.

Ushauri please.
Vipi mkuu Umeshapata Demu mwingine baada ya yule wa mwanzoni kugongewa na jamaa mwingine?? Vp hajakuuliza kuhusu kodi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom