Niguse Hapa !!

mi kuna demu nilikuwa nae akawa ananiambia nitafute mwenyewe wapi huwa panampa wazimu kwenye mwili wake, japo nilikuja kugundua ni wapi na vipi na hadi leo hanisahau. sasa kwa mtu kama huyu si unaweza kucheza rafu akamaind kumbe mazingira kakutengenezea mwenyewe?
 
Kemea NA WASHINDWE KWA JINA LA..................................
C unaona wameshindwa na wamelegea,,,,,, no more ngono today

teh teh teh naamini wangekemea kweli wewe usingekuwepo duniani umepatikana hapa duniani kwa mijadala kama hii hii ndipo wazazi wako wakaridhiana wewe ukawepo na unadunda na Yesu...Ameeeeen
 
teh teh teh naamini wangekemea kweli wewe usingekuwepo duniani umepatikana hapa duniani kwa mijadala kama hii hii ndipo wazazi wako wakaridhiana wewe ukawepo na unadunda na Yesu...Ameeeeen

Asante baba. Bwana asifiwe
 
Yeah kila mwanamke ana sehemu ambayo ukimgusa anajisikia raha bila kwenda huko mbali. Hivyo inategemea. Kama ilivyo kwenu wanaume.
Suali : Je sehemu hiyo huwa anaijua natural au baada ya kuingia kwenye ngoma na kuicheza au hula zoezi la nguvu ndio anaitambua hiyo sehemu husika?
 
Dooh,mke wangu ukimlamba nyuma ya sikio,umepata "mada",
Nawakilisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…