Nigerians launched their VPN Client

Nigerians launched their VPN Client

kazi kweli foraward ni past tena
The client is the normal client like the clients we are used to

Sasa huoni kwamba hamna "forward" yoyote hapo, forward gani wakati wana reproduce kitu ambacho kipo miaka na miaka?

Forward niambie wamegundua kitu kipya. Hii habari ya kutengeneza VPN client ni project ya kupewa watoto wawili mwaka wa pili darasa la computer science chuo kikuu. It's a garden variety ubiquitous kind of project, kuna forward gani hapo?

Waafrika wengine tunapenda kujipongeza sana utafikiri mtu ka crack the latest encryption, kumbe VPN client ambayo unaweza kufanya copy paste code ukabadilisha user interface tu?.

Kama hii ndo forward basi safari yetu ndefu sana.
 
Hapa ndio umeandika madudu gani sasa?
mbona kiswahili kina msamiati wa kutosha tu, sio lazima kuchanganya lugha. hizi lugha za watu weupe tusizikumbatie sana zinatuaibisha tu, huku tukisahau kukuza lugha yetu adhimu
 
Mkuu ngoja nikupe New inaonesha ni mtaalamu kwenye haya mambo

Wame involve TCP na UDP na Both zinafanya kazi unlike wale wanao weka TCP kumbe haifanyi kazi ni pambo
Clients nyingi nilizo ziona hazina Random Port(Rport) Lkn wa Nigeria wameiweka
All Possible Ports are listed unlike nyingine

Ubovu huo msemo wa copy and Paste umetuharibu mbona Tecno naona copy kila kitu kwa Samsung na wengineo
Mkuu sisi WATANZANIA hata hiyo copy and paste hatuwezi narudia tena hao wa mwaka wa pili unaowasema .. download hii client kawape wa icode na wabadilishe interface 2 huone kama wataweza
Mkuu Hii ni step forward whether you like or not
Sababu Development haijarishi ume copy au la tunachokiitaji nikuona ume make step forward

Its not a big deal COPY in' Technology is innevitable sababu science siku zote ni collection ya many ideas from different pple which you call Copin' ambapo upo wrong
ADMIT nawape credits wa-Nigeria na Waafrika wenzetu na unipe mfano wa VPN client yoyote ambayo inapiga "mambo yetu" na imetengenezwa na WAAFRIKA WENZETU hapa hapa kwenye Bara letu
 
smartscreen inanambia hiyo program haipo safe, kitu kingine ukitaka service yao lazima uende bank kutransfer pesa, hawachukui credit cards / Paypal, kitu ambacho ni cha kizamani sana. Labda watawapata Nigerians wenzao.
 
vpn yoyote inayo tunell port 53 sio safe maana injipitisha kwenye server za mtandao bila kutambulika, ili ufaidi haya mambo inabidi utake risk sana
 
mbona kiswahili kina msamiati wa kutosha tu, sio lazima kuchanganya lugha. hizi lugha za watu weupe tusizikumbatie sana zinatuaibisha tu, huku tukisahau kukuza lugha yetu adhimu

Mimi hapa JF nina haki ya kuandika hata Kilatini au Kijapani, kwa nini unanilazimisha lugha ya kutumia?

Waliohimiza tujue Kiswahili kujenga umoja wa taifa hao hao wamesema kwamba Kiingereza ni Kiswahili cha dunia, sasa sioni ubaya wa kuendekeza kukuza ujuzi wetu wa Kiingereza.

Na kuangalia lugha za wengine kama "lugha za watu weupe" ni reverse racism. Waafrika wengine wepesi sana kulia mkibaguliwa, lakini nyie nyie ndio wabaguzi wakubwa kabisa .

Martin Luther King hajafanya lolote katika mafunzo yake kwamba mambo yasibaguliwe kwa sababu ya rangi za watu bali kwa character ya content?

Kiingereza kina mengi ya kusemwa vibaya, lakini kukisema vibaya kwa sababu ni "lugha ya watu weupe" ni kuonyesha ubaguzi wa kijinga uliopitwa na wakati katika dunia yetu ya leo ambayo "mtu mweupe" kwa wengine wetu huku ni mtu kwanza kabla ya kuwa "mtu mweupe".

Tumekataa ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi Afrika Kusini ili iweje? Ili watu weusi waanze kuwabagua weupe katika reverse racism?

Nyerere must be turning in his grave!
 
Mkuu ngoja nikupe New inaonesha ni mtaalamu kwenye haya mambo

Unipe new maana yake nini?

Wame involve TCP na UDP na Both zinafanya kazi unlike wale wanao weka TCP kumbe haifanyi kazi ni pambo

Hujawahi kuona VPN Client yenye ku support TCP na UDP?
Clients nyingi nilizo ziona hazina Random Port(Rport) Lkn wa Nigeria wameiweka

Clients nyingi au zote? Umeziona zote?
All Possible Ports are listed unlike nyingine

All possible ports are listed? Hivi unaelewa concept ya port wewe?

Ubovu huo msemo wa copy and Paste umetuharibu mbona Tecno naona copy kila kitu kwa Samsung na wengineo

Copy paste imekulemaza hata kuandika sentensi iliyonyooka tabu sasa.

Copy paste inakubalika kama unataka ku innovate.It is senseless to reinvent the wheel anytime you want to come with a new engine design for a car.

Ndiyo maana nikawa makini kuuliza hawa Wanaijeria kipya katika hiyo VPN yao ni kipi? Hakuna.

Mbona codes za kutengeneza VPN zipo readily available katika Opes Source Project? Unaenda, una compile, unaondoa jina la originator, unabadilisha rangi, unaongeza module ya mtoto wa chuo cha Pakistani huko aliyeipost, unaongeza module ya mtoto wa chuo cha Norway huko aliyepost, unasema "hii ni VPN ya Wanaijeria"

Watu wasiojua kwamba hivi vitu vyote vipo open source project wanaogooopa. Kumbe kila kitu unaweza kufanya kwa copy paste tu.

Ni kama ume copy mp3 kadhaa na kutengeneza playlist mpya, ume scratch hapa na pale na ku shout out jina lako, ukasema "huu ni muziki mpya wa wanaijeria". Huku kuna watu waliopiga ala na kuimba katika huo muziki, wewe hujaweka kipya chochote zaidi ya swagger.

Mkuu sisi WATANZANIA hata hiyo copy and paste hatuwezi

Kwa hiyo umekubali kwamba ni copy and paste sio?

Sasa kwa nini tutake copy and paste na kuji puff kwamba tuna kitu kipya?

Unajuaje kama kila siku watu hawafanyi customization zao kwa mtindo huu wa copy and paste bila ya kuzipublish kwa sababu wanaona sio such a big deal? Hakuna kipya wanacho contribute katika technology. Ni aibu kutamba kwa vumbuzi ambazo zishafanywa na wengine tayari.

narudia tena hao wa mwaka wa pili unaowasema .. download hii client kawape wa icode na wabadilishe interface 2 huone kama wataweza

I saw that in 2008, sihitaji kufanya leo.

Mkuu Hii ni step forward whether you like or not

Sijakataa, inawezekana ni step forward kuelekea nyuma. VPN ishavumbuliwa, wewe unarudi kwenye kuitengeneza VPN ile ile iliyokwisha vumbuliwa, how could that be a step forward per se?

Sababu Development haijarishi ume copy au la tunachokiitaji nikuona ume make step forward

Nishaeleza hapo juu kwamba we don't need to reinvent the wheel everytime we want to innovate, and that is where copy paste (without copyright infringement by the way) inapokubaliwa.

Lakini hapa innovation ipo wapi? Kuna tofauti kati ya mtu aliye copy na kuongezea kipya, na yule anaye copy paste na ku shout hurrah bila kuweka kipya. Hii habari uliyotuletea haina kipya, na kama kipo hujakielezea bado.

Its not a big deal COPY in' Technology is innevitable sababu science siku zote ni collection ya many ideas from different pple which you call Copin' ambapo upo wrong

I have no problem with copying, nimeongelea not neding reinventing the wheel hapo juu. Reusability and economy of time are great concepts in innovation. Lakini pia huwezi kusema umegundua kitu wakati kishagunduliwa.

Wanaijeria wana kipya gani hapa? Au una hashuo tu kwa sababu mambo ay teknolojia huyajui? What's next? Utaanza ku shout hurrah kwa sababu watu wana blog blogpost? From a template?

What's the difference kati ya hao wanaoblog blogpost na hawa Wanaijeria? Wote hawajatupa teknolojia mpya. Wanatumia vitu ambavyo tayari vipo.

ADMIT nawape credits wa-Nigeria na Waafrika wenzetu na unipe mfano wa VPN client yoyote ambayo inapiga "mambo yetu" na imetengenezwa na WAAFRIKA WENZETU hapa hapa kwenye Bara letu

Tatizo linalokusumbua ni racial pride, which sometimes borders on racism.

Halafu unavyojishaua kwa hashuo kwa mambo ya Wanaijeria, hao wanaijeria wenyewe kwao hawaitambui Naijeria hivyo, wanajiona wa Igbo, Yoruba etc, much less kukutambua wewe Mtanzania kama ndugu yao.

Put down the champagne bottle, mpaka sasa hujatuonesha kipya hapa ambacho hakijafanywa na wengine bado.

Waafrika wengine kwa kupenda kusheherekea mambo ya kawaida tu siawezi, labda ndiyo maana kupata achievements za kusheherekea kwa kweli ni vigumu.
 
Unipe new maana yake nini?

Hujawahi kuona VPN Client yenye ku support TCP na UDP?

Clients nyingi au zote? Umeziona zote?

All possible ports are listed? Hivi unaelewa concept ya port wewe?

Copy paste imekulemaza hata kuandika sentensi iliyonyooka tabu sasa.

Copy paste inakubalika kama unataka ku innovate.It is senseless to reinvent the wheel anytime you want to come with a new engine design for a car.

Ndiyo maana nikawa makini kuuliza hawa Wanaijeria kipya katika hiyo VPN yao ni kipi? Hakuna.

Mbona codes za kutengeneza VPN zipo readily available katika Opes Source Project? Unaenda, una compile, unaondoa jina la originator, unabadilisha rangi, unaongeza module ya mtoto wa chuo cha Pakistani huko aliyeipost, unaongeza module ya mtoto wa chuo cha Norway huko aliyepost, unasema "hii ni VPN ya Wanaijeria"

Watu wasiojua kwamba hivi vitu vyote vipo open source project wanaogooopa. Kumbe kila kitu unaweza kufanya kwa copy paste tu.

Ni kama ume copy mp3 kadhaa na kutengeneza playlist mpya, ume scratch hapa na pale na ku shout out jina lako, ukasema "huu ni muziki mpya wa wanaijeria". Huku kuna watu waliopiga ala na kuimba katika huo muziki, wewe hujaweka kipya chochote zaidi ya swagger.

Kwa hiyo umekubali kwamba ni copy and paste sio?

Sasa kwa nini tutake copy and paste na kuji puff kwamba tuna kitu kipya?

Unajuaje kama kila siku watu hawafanyi customization zao kwa mtindo huu wa copy and paste bila ya kuzipublish kwa sababu wanaona sio such a big deal? Hakuna kipya wanacho contribute katika technology. Ni aibu kutamba kwa vumbuzi ambazo zishafanywa na wengine tayari.

I saw that in 2008, sihitaji kufanya leo.

Sijakataa, inawezekana ni step forward kuelekea nyuma. VPN ishavumbuliwa, wewe unarudi kwenye kuitengeneza VPN ile ile iliyokwisha vumbuliwa, how could that be a step forward per se?

Nishaeleza hapo juu kwamba we don't need to reinvent the wheel everytime we want to innovate, and that is where copy paste (without copyright infringement by the way) inapokubaliwa.

Lakini hapa innovation ipo wapi? Kuna tofauti kati ya mtu aliye copy na kuongezea kipya, na yule anaye copy paste na ku shout hurrah bila kuweka kipya. Hii habari uliyotuletea haina kipya, na kama kipo hujakielezea bado.

I have no problem with copying, nimeongelea not neding reinventing the wheel hapo juu. Reusability and economy of time are great concepts in innovation. Lakini pia huwezi kusema umegundua kitu wakati kishagunduliwa.

Wanaijeria wana kipya gani hapa? Au una hashuo tu kwa sababu mambo ay teknolojia huyajui? What's next? Utaanza ku shout hurrah kwa sababu watu wana blog blogpost? From a template?

What's the difference kati ya hao wanaoblog blogpost na hawa Wanaijeria? Wote hawajatupa teknolojia mpya. Wanatumia vitu ambavyo tayari vipo.

Tatizo linalokusumbua ni racial pride, which sometimes borders on racism.

Halafu unavyojishaua kwa hashuo kwa mambo ya Wanaijeria, hao wanaijeria wenyewe kwao hawaitambui Naijeria hivyo, wanajiona wa Igbo, Yoruba etc, much less kukutambua wewe Mtanzania kama ndugu yao.

Put down the champagne bottle, mpaka sasa hujatuonesha kipya hapa ambacho hakijafanywa na wengine bado.

Waafrika wengine kwa kupenda kusheherekea mambo ya kawaida tu siawezi, labda ndiyo maana kupata achievements za kusheherekea kwa kweli ni vigumu.

Du!!!!Kwani liikuwa swali la esay
Mkuu tunasubiria yako
Naona unataka kuleta ugomvi

Wape credts wa niggeria
sitaki mijadala isiyo na misingi ushaambiwa TCP ktk clients nyingi ni pambo uelewi
Narudia tena wape credits wanigeria
 
smartscreen inanambia hiyo program haipo safe, kitu kingine ukitaka service yao lazima uende bank kutransfer pesa, hawachukui credit cards / Paypal, kitu ambacho ni cha kizamani sana. Labda watawapata Nigerians wenzao.

Mkuu PayPal services are not offered to Nigerians

But wana accept PERFECT MONEY
 
Du!!!!Kwani liikuwa swali la esay

Jifunze kuandika. "Swali la easy" ndiyo kitu gani hicho?

Mkuu tunasubiria yako
Sina muda mchafu wa kufanya copy paste. I did that in 1999 while learning how the web works.
Naona unataka kuleta ugomvi

Huna kinachotakiwa ku elicit ugomvi out of me, this is just tough love for cheerleading country bumpkin numskulls who do not know any better.

Wape credts wa niggeria

I give credit where it is due, nimekuuliza kipya kipi hapa, hujanijibu, sasa credit ya nini?

sitaki mijadala isiyo na misingi ushaambiwa TCP ktk clients nyingi ni pambo uelewi
Narudia tena wape credits wanigeria

I doubt you understand OpenVPN, the stateful/ stateless configurability through TCP/ UDP, or if you have even heard of the entire concept.
 
Waafrika wengine kwa kupenda kusheherekea mambo ya kawaida tu siawezi, labda ndiyo maana kupata achievements za kusheherekea kwa kweli ni vigumu.

Umesema copy n' paste imeniathiri mpaka sijui kuunda sentesi
Typo ni kitu cha kawaida jioneee mwenyewe juu hapo
Mkuu kawaulize developers watakwambia whats new Sababu ujanielewa
nasijui mpaka sasa umetumia clients ngapi za VPN?

Ungekuwa umetumia popular VPN kama sandwitch Vpn ,Wi Free ,Pd Proxy, Tsunami VPN Ungeelewa whats new kwenye hii
Client ya wanigeria vinginevyo usiendelee kuleta mijadala yakuto taka kujua na kuelewa bali kuonesha much know

Umesem sijui Ports lkn huenda ni kweli sababu sina knowledge yoyote ya haya mambo
but atleast I can Ping and get my open ports

Thats my poor knowledge so niache nilivyo na uelewa wangu

Na ushauri wangu wa mwisho katumie hizo VPN nilizokutajia utaona WINIGERIA kazi kubwa waliyoifanya
 
Apparently hujui tofauti ya typo na "kuunda sentensi". SMH.

Kwa nini mimi niende kuwauliza developers? Wewe ndo umetuletea habari kwamba this is all that, tueleze sasa ina kipya gani?

Hujatueleza what's new. Ungetaka watu wote watumie hizo VPN nyingine ndiyo wajue what's new usingeleta habari JF.

Halafu huwezi kujua nimetumia VPN gani na gani sijatumia.

Watu wanaenda kwenye browser based encryption, the whole VPN hoopla is so yesterday.

Sasa kama hujui kwa nini una kimbelembele sana kusifia kitu usichokijua? Na hata unapoelezwa unaleta ubishi kama mshipa wa punda?

You could also ping and get your open ports with MS-DOS waay back in the 1980s, what's the biggie here?

Ukitaka kuachwa na uelewa wako usijitie umajnum wa kusifia vitu usivyovijua.

Contradicting yourself, mara hujui na una por knowledge, mara unanishauri kama mtu unayeyajua haya mambo niende kutumia hizo VPN.

Nishakwambia the whole VPN usage is outdated.Siku hizi kila kitu kwenye browser.

Watu wana mpaka Bluray players embedded in their browsers.

VPN kwani mimi natumia dumb terminal?
 
Du nimesema sio vita lkn we sitahili yako ya kujibu unajibu kwa lugha ya vita
Anywayz check my signature am here for bussiness selling sandwitch VPN,Wi Free,VPN PLUS,Tsunami VPN Voucher codes
If you dont mind Holla me @0753932250 I will sell you a premium account
 
Sitahili maana yake nini?
Anywayz check my signature am here for bussiness selling sandwitch VPN,Wi Free,VPN PLUS,Tsunami VPN Voucher codes
If you dont mind Holla me @0753932250 I will sell you a premium account

Ushasema hujui haya mambo, kwa nini nitake kufanya biashara/ kazi na mtu ambaye kashakubali hajui anachokiandika hapa? Hata kama ningekuwa nahitaji huduma zako ambazo sizihitaji.
 
C6 njoo uamue huku wataanza kukwindana hawa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom